Kocha Amunike atangaza majina ya Wachezaji watakaoenda kupambana na Uganda, Septemba 8

Huyo Farid Musa toka aende huko Spain sidhani kuna ambaye amewahi hata kuona highlights zake,mwenzie Chilunda kaenda majuzi tu lakini jana kacheza timu ya wakubwa.

Cha ajabu kwenye kikosi cha taifa kutwa yumo.
bwana Shaban Iddi Chilunda alicheza timu ya wakubwa mkuu???Ila bwana mdogo yule yuko nondo sana
 
Tumeshaambiwa moja ya wasaidizi wa Amunike ni Hemedi Morocco, hivi huyu hawajui wachezaji?

Morocco atakuwa amechagua wachezaji, uzuri siku hizi mechi zinaoneshwa kwa hiyo anaweza kujiridhisha kwa kurejea mikanda ya nyuma. Lakini pia pale TFF kuna makocha wengi wanaweza kusaidia kipindi hiki cha mpito. Hata rais anapoteu wakuu wa wilaya, wakurugenzi kikanuni ni Rais ameteua lakini si wateule wote yeye anakua anawafahamu wengine analetewa tu majina na wasaidizi wake lkn mwisho wa siku hatusemi wasaidizi wa Rais wameteua mawaziri/wakurugenzi n.k
 
Mtamponza Amunike , kwanini msiseme timu imechaguliwa na Hemed Morroko
 
Nitasema kweli daima fitna kwangu mwiko .

Taarifa za vyombo vya habari zinaeleza kwamba Kocha mpya wa Taifa Stars ameteua wachezaji watakaovaana na Uganda Cranes kwa michuano ya AFCON , sasa mimi ninataka kujua kama kweli aliyeteua kikosi hiki ni Amunike amewajuaje wachezaji wazuri bila hata kuwaona uwanjani ? nauliza hili ili matokeo mabaya yakitokea tujue wa kumpa lawama.

Msimchagulie timu halafu mkasema kachagua yeye , mwisho wa siku akatwishwa lawama kwa mtindo wa kuangushiwa jumba bovu , maana hata kwa akili ya vikatuni si rahisi kwa muda mfupi namna hii Amunike aweze kuwajua wachezaji , vinginevyo tutajieni mtu halisi aliyeteua timu hii .
kiukweli hajateua yeye kama angeteua kuna wachezaji wasingekuwemo kama Ben Kakolanya maana Yanga wenyewe wanampiga benchi
 
Nitasema kweli daima fitna kwangu mwiko .

Taarifa za vyombo vya habari zinaeleza kwamba Kocha mpya wa Taifa Stars ameteua wachezaji watakaovaana na Uganda Cranes kwa michuano ya AFCON , sasa mimi ninataka kujua kama kweli aliyeteua kikosi hiki ni Amunike amewajuaje wachezaji wazuri bila hata kuwaona uwanjani ? nauliza hili ili matokeo mabaya yakitokea tujue wa kumpa lawama.

Msimchagulie timu halafu mkasema kachagua yeye , mwisho wa siku akatwishwa lawama kwa mtindo wa kuangushiwa jumba bovu , maana hata kwa akili ya vikatuni si rahisi kwa muda mfupi namna hii Amunike aweze kuwajua wachezaji , vinginevyo tutajieni mtu halisi aliyeteua timu hii .
Moderator uoga wako wa kuunga hata hii ni nini ? hutaki nyuzi za kufikirisha ?
 
Ulaya unakitaja kikosi cha Spain ukiwa hapa Tz. Kupitia video za timu za Simba ,Yanga,Mtibwa,Kagera etc. Unajua wachezaji
 
Back
Top Bottom