Siku zote kocha huwa analaumiwa kwa matokeo mabaya kutokana na yeye ndie anaefundisha na kuchagua wachezaji wa kuanza kwenye kikosi. Sasa nyinyi mnaolazimisha Phiri apangwe, je, akipangwa na matokeo yakawa mabaya nani atawajibika?
Ni kawaida kwa mchezaji aliekuwa tegemeo kupoteza namba baada ya kuwa majeruhi. Kwa wahenga kidogo, kuna mchezaji anaitwa Mario Gomez alikuwa Striker wa kutegemewa pale Bayern. Alipopata majeruhi Bayern wakamsajili Mandzukick na Mario Gomez akapoteza namba mazima hata alipopona majeruhi.
Naamini Phiri atapewa nafasi na Kocha mtalaam Robertinho na ataendelea kupewa nafasi kutokana na performance yake na sio mazoea ya kuwa sijui alikuwa tegemeo zamani. Mwacheni Kocha afanye kazi yake.