Kocha Aussems (Uchebe) aibua mazito: Wachezaji wa Singida hawakufurahishwa na kikosi kisicho cha ushindani dhidi ya Yanga

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Aliyekuwa Kocha wa Singida Big Stars, Patrick Aussems amefunguka mazito kupitia Crown FM, baada ya sakata la Yanga na Singida kupamba moto

1739952180905.png
"Kuna wachezaji wamenipigia simu wamekerwa na hali iliyotokea juzi maana wachezaji wana malengo ya kushindana na hawafurahishwi na kikosi ambacho kilipangwa juzi kuwa sio cha ushindani."

"Wakati nipo Singida kabla ya mechi na Yanga ile wiki mambo mengi ya ajabu yalitokea kila jioni nilikuwa nampigia simu Boss na nilijua kabla kuna uhusiano kati ya Singida na Yanga na baada ya pale nilijua kuwa siwezi kukaa Singida Black Stars maana mimi ni mtu mshindani napenda kushindana."

"Unawezaje kuwa na malengo ya kushindana halafu hutaki kushindana na timu kama Yanga?, Hi haiwezekani na wakati nilipoondoka Singida BS tulikuwa nafasi ya pili na niilijua tu lazima timu itashuka."
amesema Ausems kupitia Crown FM

Pia soma Patrick Aussems: Wamiliki wa Singida Black Stars hupangia makocha vikosi vya kuchezesha
 
Aliyekuwa Kocha wa Singida Big Stars, Patrick Aussems amefunguka mazito baada ya sakata la Yanga na Singida kupamba moto

Labda wataamini sababu kengele kila kona ya dunia!
 
Nilijua tu
 
Aliyekuwa Kocha wa Singida Big Stars, Patrick Aussems amefunguka mazito kupitia Crown FM, baada ya sakata la Yanga na Singida kupamba moto

"Kuna wachezaji wamenipigia simu wamekerwa na hali iliyotokea juzi maana wachezaji wana malengo ya kushindana na hawafurahishwi na kikosi ambacho kilipangwa juzi kuwa sio cha ushindani."

"Wakati nipo Singida kabla ya mechi na Yanga ile wiki mambo mengi ya ajabu yalitokea kila jioni nilikuwa nampigia simu Boss na nilijua kabla kuna uhusiano kati ya Singida na Yanga na baada ya pale nilijua kuwa siwezi kukaa Singida Black Stars maana mimi ni mtu mshindani napenda kushindana."

"Unawezaje kuwa na malengo ya kushindana halafu hutaki kushindana na timu kama Yanga?, Hi haiwezekani na wakati nilipoondoka Singida BS tulikuwa nafasi ya pili na niilijua tu lazima timu itashuka."
amesema Ausems kupitia Crown FM

Pia soma Patrick Aussems: Wamiliki wa Singida Black Stars hupangia makocha vikosi vya kuchezesha
GSM ameibaka NBC PL mchana kweupeeee !!
 
Sasa mnatakaje? Yanga imeshinda Next?

#Yangabingwa
#since1935
💚💚💛💛
 
Hakuna timu inayoitwa kubwa inayoishia robo fainal kwenye mashindano ya CAF kwa miaka Sita mfululizo.
Izo zakujiona mkubwa Africa kwa kufika robo ni fikra za ki mbumbumbu.
 
Back
Top Bottom