Kocha Aussems (Uchebe) aibua mazito: Wachezaji wa Singida hawakufurahishwa na kikosi kisicho cha ushindani dhidi ya Yanga

Hakuna timu inayoitwa kubwa inayoishia robo fainal kwenye mashindano ya CAF kwa miaka Sita mfululizo.
Izo zakujiona mkubwa Africa kwa kufika robo ni fikra za ki mbumbumbu.
Kaa pembeni acha kukata mauno hapa huna hoja
 
Hakuna timu inayoitwa kubwa inayoishia robo fainal kwenye mashindano ya CAF kwa miaka Sita mfululizo.
Izo zakujiona mkubwa Africa kwa kufika robo ni fikra za ki mbumbumbu.
๐Ÿคฆ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿคฆ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿคฆ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ afya ya akili, ivi wenye mpira wao caf wanasemaje kuhusu simba kweny vilabu bora Africa yupo top 10 au ayupo? Ukisha lijua hlo aiseee zingatia huduma za afya yaan mental health upatiwe doz mapema kabla mamb yajawa magumu
 
Hakuna mchezaji au kocha anayejitambua anaweza kufurahishwa anapoambiwa aingie uwanjani, atoke jasho halafu afanye maigizo ili afungwe. Hakuna hata umlipe kiasi gani (ila zingatia nimesema anayejitambua). Juzi nilisema hapa watu wakadhani natania.
 
Aliyekuwa Kocha wa Singida Big Stars, Patrick Aussems amefunguka mazito kupitia Crown FM, baada ya sakata la Yanga na Singida kupamba moto

"Kuna wachezaji wamenipigia simu wamekerwa na hali iliyotokea juzi maana wachezaji wana malengo ya kushindana na hawafurahishwi na kikosi ambacho kilipangwa juzi kuwa sio cha ushindani."

"Wakati nipo Singida kabla ya mechi na Yanga ile wiki mambo mengi ya ajabu yalitokea kila jioni nilikuwa nampigia simu Boss na nilijua kabla kuna uhusiano kati ya Singida na Yanga na baada ya pale nilijua kuwa siwezi kukaa Singida Black Stars maana mimi ni mtu mshindani napenda kushindana."

"Unawezaje kuwa na malengo ya kushindana halafu hutaki kushindana na timu kama Yanga?, Hi haiwezekani na wakati nilipoondoka Singida BS tulikuwa nafasi ya pili na niilijua tu lazima timu itashuka."
amesema Ausems kupitia Crown FM

Pia soma Patrick Aussems: Wamiliki wa Singida Black Stars hupangia makocha vikosi vya kuchezesha
Ukweli huu hapa
 
Attachments

  • VID-20250219-WA0016.mp4
    10.7 MB
Hakuna timu inayoitwa kubwa inayoishia robo fainal kwenye mashindano ya CAF kwa miaka Sita mfululizo.
Izo zakujiona mkubwa Africa kwa kufika robo ni fikra za ki mbumbumbu.
Ila kubwa no iliyoburuza mkia ndo kubwa manara hakukosea
 
Yanga imeshinda lakini imetumia maarifa ambayo sio . Wakienda kimataifa wanaishia makundi.
Unaongea kama umekatwa kichwa, Yanga mwenye fainali unasema anaishia makundi...we unaishiaga wapi?
 
Aliyekuwa Kocha wa Singida Big Stars, Patrick Aussems amefunguka mazito kupitia Crown FM, baada ya sakata la Yanga na Singida kupamba moto

"Kuna wachezaji wamenipigia simu wamekerwa na hali iliyotokea juzi maana wachezaji wana malengo ya kushindana na hawafurahishwi na kikosi ambacho kilipangwa juzi kuwa sio cha ushindani."

"Wakati nipo Singida kabla ya mechi na Yanga ile wiki mambo mengi ya ajabu yalitokea kila jioni nilikuwa nampigia simu Boss na nilijua kabla kuna uhusiano kati ya Singida na Yanga na baada ya pale nilijua kuwa siwezi kukaa Singida Black Stars maana mimi ni mtu mshindani napenda kushindana."

"Unawezaje kuwa na malengo ya kushindana halafu hutaki kushindana na timu kama Yanga?, Hi haiwezekani na wakati nilipoondoka Singida BS tulikuwa nafasi ya pili na niilijua tu lazima timu itashuka."
amesema Ausems kupitia Crown FM

Pia soma Patrick Aussems: Wamiliki wa Singida Black Stars hupangia makocha vikosi vya kuchezesha
Mtoto wa mama hatolewi kafara
 
Mbumbumbu fc wanatakiwa wafahamu hakuna timu yoyote kubwa inayo jivunia kufika robo fainal, ata ifike mara 1000 hakuna anaye tambua hatua izo zaidi ya mbumbumbu wenyewe.

Yanga imecheza fainal mwaka 2023 na haijivunii ilo.
Kwenye soka ukubwa unatambulika kwa mataji tu.

Kama apa Tanzania , Yanga ndiye Giant wa soka na kinacho mfanya awe Bingwa wa ki historia ni mataji anayo miliki.
Al Hilal ya Sudan ana fainal moja/ Sem final 2 / Quarter final zaidi ya 4 za CaF champion league na wala havimbi kwakua izo ni hatua na si mataji.
 
TFF na Bodi ya Ligi wanakwama wapi kukusanya ushahidi kumaliza huu upuuzi, wajue CAF jicho lao liko hapa pia .
 
Angekuwa kocha wa maana asingekuwa anafukuzwa kila timu anayofundisha
 
Back
Top Bottom