Kocha Aussens wa Simba Sports siyo kocha

Galiwusa

New Member
Joined
May 6, 2017
Posts
2
Reaction score
2
Kocha Aussens ni binge LA kimeo ila amepata bahati ya kuwa na wachezaji wazuri. Angepewa timu kama Ndanda au Mbeya City asingepata sifa aliyonayo. Simba wanabugi kumpa mkataba mwingine. Makocha wazuri ni Mwinyi Zahera wa Yanga na Ndiyaragije wa KMC
 
Wacha kuwashwa,tengenza timu yako halafu mkabidhi timu huyo mcheza BOLINGO.
 
Marekani nayo siyo nchi yenye uchumi mkubwa

Marekani nayo haina uchumi mkubwa sema tu imepata bahati ya kua moja ya nchi za bara la america, ila marekani ingekua africa ingekua ni nchi masikini kuliko zote
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli aisee
 
Jinalako GALASA haitashangaza kuona Kuna Kamas tupu ktk kichwa chako. HAITAJI KUKUBALIKA NA MIBOYA. Yeye anachukua kombe ww na hao uwapendao mnachukua mifuko ya RAMBO inayokatazwa. Km vp KUFA

Back
Top Bottom