GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Edna Lema watu wa Mpira tulijua baada ya Kukufukuza mwaka jana sababu ilikuwa ni nini ila umemkubali nae anakujali.
huwezi kufanikiwa kwa utunzi wa visa kama hiviEdna Lema watu wa Mpira tulijua baada ya Kukufukuza mwaka jana sababu ilikuwa ni nini ila umemkubali nae anakujali.
Hii mikono Miwili ya Kocha Edna Lema inakuna nini na wapi? Nilijua tu hawezi kumkwepa Muhuni wa Fire NHC na Hargeisa.Edna Lema watu wa Mpira tulijua baada ya Kukufukuza mwaka jana sababu ilikuwa ni nini ila umemkubali nae anakujali.
View attachment 3294490View attachment 3294491
ha ha we naeHii mikono Miwili ya Kocha Edna Lema inakuna nini na wapi? Nilijua tu hawezi kumkwepa Muhuni wa Fire NHC na Hargeisa.
amekomaa sasa hivi karibuni aliwafunga simba na makocha wao wanaumeHuyu si ndio yule wa kulalamika amefungwa na Simba kwa sababu wana kocha mwanaume?
Mtu wa kulialia hivi kulizusha ni dakika mbili tu, utasikia akina Mkude hawanisikilizi kwasababu mimi mwanamke.
kila la mtu kaumbwa kivyakeHuyo bibie ana shape matata sana tatizo sura inamuangusha.
Halafu kocha mkuu wa Yanga hua kazubaa muda wote kama katoka porini hana amsha amsha kama za makocha waliopita.
Huyu msimbe ana tabu sana, ndio maana anaishia kudanga tu hawezi Pata mume, mume gani ataoa vuvuzela?Wewe una wivu sana na wanawake wenzako 😂😂🙌🙌🙌, ulimwonea wivu Babra kuwa pale simba, ukamuonea Mobetto kuolewa na Azizi key, saiz umeanza kumuonea wivu Edina asee!! Acha tabia hizi utakosa mme🚶🚶.
Haya maelezo hapa juu yanamhusu mtoa mada, au kocha Mourinho? Ufafanuzi tafadhali. Nahisi sijaelewa kitu hapa.Wewe una wivu sana na wanawake wenzako 😂😂🙌🙌🙌, ulimwonea wivu Babra kuwa pale simba, ukamuonea Mobetto kuolewa na Azizi key, saiz umeanza kumuonea wivu Edina asee!! Acha tabia hizi utakosa mme🚶🚶.
Adui wa mwanamke ni mwanamke always.Edna Lema watu wa Mpira tulijua baada ya Kukufukuza mwaka jana sababu ilikuwa ni nini ila umemkubali nae anakujali.
View attachment 3294490View attachment 3294491
Kama hujaelewa, jitahidi kuelewa polepole!!Haya maelezo hapa juu yanamhusu mtoa mada, au kocha Mourinho? Ufafanuzi tafadhali. Nahisi sijaelewa kitu hapa.
edna ni mke wa mtu bro na ni mama wa mtoto mmojaMwanamke anao ujuzi wa kumfundisha na kumpa raha mwanaume pekee akiwa naye kitandani..
Hili la huyu bibie kuwa kocha wa wanaume ni wachache watakao mzingatia pasipo kutamani kumuonja, other wise hao wanaume wawe gays ndo hawatomuonja.
Hii sasa ndie ile mwanaume kama binti...Edna Lema watu wa Mpira tulijua baada ya Kukufukuza mwaka jana sababu ilikuwa ni nini ila umemkubali nae anakujali.
View attachment 3294490View attachment 3294491