Kocha Edna Lema ajumuisha kwenye bechi la ufundi la Yanga kubwa

Huyu si ndio yule wa kulalamika amefungwa na Simba kwa sababu wana kocha mwanaume?

Mtu wa kulialia hivi kulizusha ni dakika mbili tu, utasikia akina Mkude hawanisikilizi kwasababu mimi mwanamke.
 
Huyo bibie ana shape matata sana tatizo sura inamuangusha.

Halafu kocha mkuu wa Yanga hua kazubaa muda wote kama katoka porini hana amsha amsha kama za makocha waliopita.
kila la mtu kaumbwa kivyake
 
Wewe una wivu sana na wanawake wenzako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ, ulimwonea wivu Babra kuwa pale simba, ukamuonea Mobetto kuolewa na Azizi key, saiz umeanza kumuonea wivu Edina asee!! Acha tabia hizi utakosa mme🚢🚢.
 
Huyu msimbe ana tabu sana, ndio maana anaishia kudanga tu hawezi Pata mume, mume gani ataoa vuvuzela?
 
Wewe una wivu sana na wanawake wenzako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ, ulimwonea wivu Babra kuwa pale simba, ukamuonea Mobetto kuolewa na Azizi key, saiz umeanza kumuonea wivu Edina asee!! Acha tabia hizi utakosa mme🚢🚢.
Haya maelezo hapa juu yanamhusu mtoa mada, au kocha Mourinho? Ufafanuzi tafadhali. Nahisi sijaelewa kitu hapa.
 
Mwanamke anao ujuzi wa kumfundisha na kumpa raha mwanaume pekee akiwa naye kitandani..

Hili la huyu bibie kuwa kocha wa wanaume ni wachache watakao mzingatia pasipo kutamani kumuonja, other wise hao wanaume wawe gays ndo hawatomuonja.
 
edna ni mke wa mtu bro na ni mama wa mtoto mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…