valet de chambre
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,258
- 1,438
Mkuu hii kweli. Yule kipa alitakiwa achezeshwe haha mechi za crdb apate match fitness. Alivyoingizwa alikuwa kama kashtukizwa.Kwa mtu asiye na akili atalaumu wachezaji.
Makosa yale yale tunaadhibiwa kwa sababu ndiyo mbinu za kocha kupiga pass fupi fupi nyuma.
Mchezaji hachezi mechi zote walau dakika 15 ghafla unampa jukumu kwenye mechi ngumu! Unadhani nini kitatokea!
Kulikuwa na akina Chasambi,Valentino Mashaka walikuwa wa moto hawapangwi walau dakika 15 hadi wanapotea.
Tunahitaji mabeki,na striker mwenye uwezo
kwa mwenendo wa kikosi nilichokiona jana acha niseme "hii hatubebi" "ubaya uboya" walijificha kwenye kivuli cha kujenga timu na ndio hii waliyoijenga au wafumue wajenge upya. Ila nina cha kuwashauri mikia. Wakitaka kujenga timu upya basi waanzie kwa mwekezaji,bodi ya wakurugenzi,try again,mangungu,C.E.O,Msemaji,wachezaji na benchi la ufundi kwa ujumla. kocha msaidizi haiwezekani awe ni yuleyule kila msimu,kama unataka benchi la ufundi basi mwache kocha wa kigeni aje na wasaidizi wake lakini kwa wenzetu mikia matola ni kocha wao msaidizi wa milele.Kawekeza tarehe 15.06.2025
Nabi anakujaHuu ndio ukweli mchungu.
Msimu ujao hata hiki kidogo kizuri alichofanya hakitaonekana. Labda akubali kuwa assistant coach
Kuchoma uwanja ni dalili za kishirikina ndiyomaana huwa tunawaita "Kolowizards SC" Mkuu.Berkane FC
VIBABU VIFUPI FC
HILI TUNABEBA SC
KUCHOMA UWANJA SC
Kamara kamara kamara nakuita mara 3 FC
Meneja wa uwanja.Simba alisema hata cheza mechi yeyote ya ligi mpaka pale wahusika watakapo chukuliwa hatua za kisheria, je watu hao ni kina nani na wamechukuliwa hatua gani?