Kocha Fadlu Kumbuka kuwaandaa wachezaji wako kwa mikwaju

Kocha Fadlu Kumbuka kuwaandaa wachezaji wako kwa mikwaju

Anonymous Caller

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Posts
679
Reaction score
870
Zipo kila dalili mechi ijayo dhidi ya Walibya ikaisha kwa sare tasa..

Naomba nimkumbushe Mwalimu kwamba, Simba siku hizi imekuwa haina record nzuri pale inapotokea mechi zake kuamuliwa kwa matuta na timu za nje.

Hii ni kwasabu makocha wamekuwa wakitoa zero priority kwny ku train timu kwa ajiri ya mikwaju ya penalties pengine kwa kuamini ni patapotea.

Fadlu, akumbushwe pia kuwa mechi za Afrika hazina dakika 120..
Mwisho ni dk 90 tu..baada ya hapo ni penalties moja kwa moja hata kama taa zipo.

Hivyo anatakiwa kujiandaa kwa hili kwasab kwanza Ana wachezaji wapya na yeye ni pia mpya...

Kuwaondoa Waarabu kwny matuta ni kazi mnoo..kwasab inaonekana huwa wana maandalizi mahsusi kwa ajiri ya assignment hiyo.

Mwaka 2013 Simba alitolewa na El shandy ya Sudan kwa mikwaju ya penalties kimzaha sana..(ile Simba ya akina salum machaku, uhuru seleman)

Mwaka 2022 Simba aliondolewa mashindanoni na Orlando pirates kwa penalties..

Mwaka 2023 Simba alitolewa mashindanoni kwa aina ileile na Wydad Casablanca..

Ukiangalia upigaji wa zile penalties kwa upande wa Simba utagundua kabisa kuwa watu wakujiandaa.

Kwa wale Gamblers chukueni hii
Simba vs A. Tripoli=scoreless Draw..

Yaleyale kama Mamelodi vs Yanga yanaenda kujirudia
 
Screenshot_20231125-080346_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom