MTAZAMO
Platinum Member
- Feb 8, 2011
- 20,203
- 35,840
Wakuu,
Naomba viongozi wa Simba wamsaidie kocha Fadlu either matured assistant coaches au washauri kumsaidia kujua kucheza game dakika za lala salama.
Pamoja na ubora wake lakini trend ya Simba kuruhusu goli dakika za jioni ndio zimeigharimu Simba game zote muhimu zikiwemo game ya Yanga, Azam, na jana huko Misri.
Fadlu timu yake itafanya kila kitu ila lazima waku disappoint dakika za jioni ambazo ndio za kucheza kikubwa. Hili lawama si wachezaji tu bali benchi lote la ufundi umakini huwa mdogo na hamasa inakuwa chini kusaidia wachezaji hasa shape za ulinzi au kufanya mabadiliko muhimu kulinda ushindi.
Game ya Azam aliacha watu walewale ambao walitumia nguvu kubwa mno na haraka kocha wa Azam alihitaji pumzi mpya ku press kidogo na kupata goli jepesi kabisa.
Haya makosa yanajirudia ikiwemo jana hivyo ni muhimu tumsaidie mwalimu watu sahihi wa kumshauri vizuri.
Mwisho, Simba msimu huu hatuna kocha bora wa makipa! Kiwango cha makipa wetu kinaporomoka sana! Kama tunataka kuvuka nusu fainali iteni makocha na wachezaji wa zamani kama Kibadeni waongee na timu.