Ndiyo madhara ya kukimbia derby ulikuwa ndiyo mchezo mzuri mgumu wa kuangalia wapi panavuja mlikuwa mnamsifia mpanzu leo mnamponda wenyeweWakuu,
Naomba viongozi wa Simba wamsaidie kocha Fadlu either matured assistant coaches au washauri kumsaidia kujua kucheza game dakika za lala salama.
Pamoja na ubora wake lakini trend ya Simba kuruhusu goli dakika za jioni ndio zimeigharimu Simba game zote muhimu zikiwemo game ya Yanga, Azam, na jana huko Misri.
Fadlu timu yake itafanya kila kitu ila lazima waku disappoint dakika za jioni ambazo ndio za kucheza kikubwa. Hili lawama si wachezaji tu bali benchi lote la ufundi umakini huwa mdogo na hamasa inakuwa chini kusaidia wachezaji hasa shape za ulinzi au kufanya mabadiliko muhimu kulinda ushindi.
Game ya Azam aliacha watu walewale ambao walitumia nguvu kubwa mno na haraka kocha wa Azam alihitaji pumzi mpya ku press kidogo na kupata goli jepesi kabisa.
Haya makosa yanajirudia ikiwemo jana hivyo ni muhimu tumsaidie mwalimu watu sahihi wa kumshauri vizuri.
Mwisho, Simba msimu huu hatuna kocha bora wa makipa! Kiwango cha makipa wetu kinaporomoka sana! Kama tunataka kuvuka nusu fainali iteni makocha na wachezaji wa zamani kama Kibadeni waongee na timu.
Mpanzu anakimbia kama Digi Digi but final touch zake ni kama yikpe aliyechangamka🤣Ndiyo madhara ya kukimbia derby ulikuwa ndiyo mchezo mzuri mgumu wa kuangalia wapi panavuja mlikuwa mnamsifia mpanzu leo mnamponda wenyewe
Game tatu tumepoteza kwa weakness zile zile na hakuna mabadiliko. Tunaruhusu goli dakika ambazo ndio za kucheza kikubwa. Lakini pia kufungwa Magoli ya mapema. Kabla. Hawaja review hizi game kulaumu wachezaji ni muhimu wajiangalie wao kwanza.Najaribu kufikiria kama endapo kocha angefanya hizo Sub na bado akafungwa naona lawama ndo zingekua nyingi zaidi kwamba Sub imeharibu balance ya timu.
nilimsikia dereva mmoja wa daladala asubuhi akisema ..... " kwa mkapa hatoki mtu" simba bwanaGame tatu tumepoteza kwa weakness zile zile na hakuna mabadiliko. Tunaruhusu goli dakika ambazo ndio za kucheza kikubwa. Lakini pia kufungwa Magoli ya mapema. Kabla. Hawaja review hizi game kulaumu wachezaji ni muhimu wajiangalie wao kwanza.
Kwenye kushindwa ndio fursa ya kujitathimini. Jadili facts sio hisia. Kocha ni mzuri ila hakuna asiye na mapungufu! Mechi ngumu tunazokutana nazo hasa timu yenye viwango bora huwa tunaharibu dakika za mwisho na nimetoa mfano wa game zote tulizopoteza au kutoa droo.😂😂😂Simba Mna utahira.... Alipokuwa anashinda mechi za awali hizi weakness hakuwa nazo?, Kubalini ukweli kuwa timu yenu ina wachezaji wa kawaida ambao ni mara chache wanawaez kuibeba timu bila mbeleko ya refa!!!. Simba imefika hapa kwakubebwa kwenye hatua ya mtoano dhidi ya wale Walibya.... Simba bila mbeleko ya marefa ni wepesi afadhali hata pamba.
Yule Mpanzu alistahili kabisa kushindwa majaribio ya kucheza GENK! Hakuna kocha angetamani kuwa na mchezaji wa aina yake! Yaani anakimbia tu kama kuku aliyekatwa kichwa.Mpanzu anakimbia kama Digi Digi but final touch zake ni kama yikpe aliyechangamka🤣
.Yule Mpanzu alistahili kabisa kushindwa majaribio ya kucheza GENK! Hakuna kocha angetamani kuwa na mchezaji wa aina yake! Yaani anakimbia tu kama kuku aliyekatwa kichwa.
.Mkuu wewe ni Moja ya watu wa maana sana hapa Jukwaani, huwa unatoa point na Hoja za maana sana.
Tukubali tukatae mambo yafuatayo yanaikwamisha sana simba
1. Kamati ya usajili ya Simba ina mapungufu mengi mno nashauri ivunjwe kabisa.
2. Wachezaji wengi wa simba hawapaswi kuchezea timu kubwa Wale ni Very low quality 5,6,8,10,9 na mizigo mingi benchi.
3. Wachezaji wafuatao waachwe mapema sana pale tu msimu unapo malizika. Karabue chamoe, Mukwala, Mutale, Nouma, Okejepha, na wazawa wengi mno.
4. Kusajili mchezaji mmoja tu Dirisha Dogo je Ilikuwa sahihi?????
5. Mashabiki vichaa hoya hoya wasiojua kisema Ukweli.
NB.Hivi mohamed Dewji kweli yupo serious na Simba maana ana in and out nyingi sana ???????