Kocha Gamond tunakuelewa, Mapinduzi Cup haijawai kuwa na tija yoyote

Kocha Gamond tunakuelewa, Mapinduzi Cup haijawai kuwa na tija yoyote

Kila timu inayo mipango yake na kupanga ni kuchagua, ndio maana Kuna timu zimeenda kushiriki mapinduzi na vikosi vyao vyote vya kwanza na Kuna timu zimeenda kushiriki na mchanganyiko wa vijana wa U20 pamoja na wachezaji wa vikosi vya pili iyo yote ni mipango

Yanga mipango yake ni ligi kuu, ligi ya mabingwa na FA cup, ivyo wasingeweza kuweka nguvu kwenye michuano ambayo aina TIJA yoyote zaidi ya kutafuta fatique na majeraha wakati Kuna michuano muhimu mbele ya safari.

Yanga wangeweza kukataa kushiriki lakini isingekuwa uungwana kuzikatalia mamlaka ivyo waliamua kwenda kuwapa vijana nafasi na wale ambao wanakaa sana benchi ili waonyeshe viwango vyao

Naweza kusema kwenye timu zote zinazoshiriki mapinduzi ni yanga pekee waliopeleka kikosi dhaifu tofauti na timu nyingine.

Kwa maana iyo kocha GAMOND tumemuelewa kutokuwepo kwa wachezaji 14 wa kikosi Cha kwanza ni kuonyesha kwamba akuwa na mpango na kikombe Cha bonanza.

Kwani kikosi cha kwanza huko Yanga ni wachezaji 14 na sio wachezaji 11 au wenzetu mnacheza Rede kama inavyoonekana kwenye Nembo yenu kuwa Rede ni sehemu ya michezo yenu hapo Klabuni
 
Nimesoma heading tu nikagundua kilichoandikwa ndani ni ushuzi mtupu. Mlienda kufanya nini sasa kule? Gamondi aliwaita baadhi ya nyota wa kikosi cha kwanza waliokuwa likizo ili wakafanye nini kule?

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Vipi!
Screenshot_20240108-133159.jpg
 
Back
Top Bottom