GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ukweli ni kwamba Kocha Gamondi wala hakuwa na Uwezo huo ambao tokea mmempa Kazi Yanga SC mlikuwa mkimpa hadi kumuita Profesa ila mlimkuza Kiuongo na Kweli aonekane anafanya vyema ila huku nyuma mlikuwa mkitumia Dawa za Kuongeza Nguvu kupitia Sindano na baada ya Kushtukiwa kwa Watu wa Azam Media Kulisanua sasa mmeona hamtakuwa na Makali yenu tena hivyo kwa Kuzuga mkaona zigo la lawama mumtupie Muajentina wa watu.
Hovyoooooooooo.........!!!!!!!
Hovyoooooooooo.........!!!!!!!