Kocha Gamondi wala hana shida ila mlimpa Jeuri na kuaminisha Watu kuwa ni Bonge la Kocha ila baada ya kushtukiwa Mchezo wenu wa dawa mmemtema

Kocha Gamondi wala hana shida ila mlimpa Jeuri na kuaminisha Watu kuwa ni Bonge la Kocha ila baada ya kushtukiwa Mchezo wenu wa dawa mmemtema

1000277837.jpg
 
Sababu nyingine na ya msingi ni yeye Gamond kukataa viongozi wasinunue mechi na madawa/sindano za kusisimua misuli ya wachezaji hasa pale timu inaposhambuliwa kwa sababu kocha alikataa hayo yote kwa sababu yanadhoofisha vipaji vya wachezaji
Kuna timu yeyote tz kati ya Simba na yanga ambayo hainunui mechi?
 
Back
Top Bottom