GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Si kweli.....!!Pongezi ziende kwa Mama. Anaupiga mwingi sana
Wanasema gamondi alikataa masuala ya uchawi
Je, nani alikuwa mchoma sindano?Si kweli.....!!
Genta tatizo mnachokoza na yeye anakiri ni Israel havumilii uchokozi lazima ashambulie...Kwahiyo faiza ana unafuu kuliko hii chenga popoma
Masindano Fc.Na nyie pigeni sindano,,,
Bin Taaban.....!!!!!!!Yanga wapo hoi..!
Hatupo hoi mkuu,wachambuzi ndiyo wanatufanya tuonekane hoiYanga wapo hoi..!
Huyu Mzee katapeliwa Yanga yake....Kurujuani ya Mzee Magoma imeanza kujibu
Ukweli ni kwamba Kocha Gamondi wala hakuwa na Uwezo huo ambao tokea mmempa Kazi Yanga SC mlikuwa mkimpa hadi kumuita Profesa ila mlimkuza Kiuongo na Kweli aonekane anafanya vyema ila huku nyuma mlikuwa mkitumia Dawa za Kuongeza Nguvu kupitia Sindano na baada ya Kushtukiwa kwa Watu wa Azam Media Kulisanua sasa mmeona hamtakuwa na Makali yenu tena hivyo kwa Kuzuga mkaona zigo la lawama mumtupie Muajentina wa watu.
Hovyoooooooooo.........!!!!!!!
Timu inaongoza ligi wewe unamshauri ujengwe. Hiyo kazi ya kujenga Timu ifanywe na walioko Chini ya Simba kwenye msimamo NbcWe mzee Jenga timu yako kwanza kesho kutwa hapa utaanza lawama zako kwa kapombe.