OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Habari wakuu
Nimewahi kuleta nyuzi kadhaa humu jukwqani za utabiri mfano "Gusa achia twende kwao" inaenda kuleta mapinduzi ya pili ligi kuu NBCPL Round ya pili kuanzia january timu ndogo zitafunga timu kubwa
Mwanzo wa msimu niliandika huu uzi kuhusu JKT Nimeuelewa ukuta wa JKT unatisha, yeyote akae mguu sawa
Pia nikaandika kuhusu Ramovic ambaye waarabu waliona kazi yake mapema wakamnyakua Kocha mpya wa Yanga Sead Ramovic ni hatari zaidi kuliko Gamond baada ya mechi tano zijazo mtamsahau Gamond
Huyu kocha wa sasa anairudisha Yanga kule kule ilikotoka, hajui shida ya yanga ni nini, kwa muujibu wa Ramovic shida ya yanga ilikuwa ni utimamu wa mwili (physical fitness)
Leo nimeona wachezaji ni kama vile wqmeanza kuchoka tena hii ni kazi ya mazoezini huko kocha na wenzake sijui wanafanya kitu gani mpaka wachezaji wamechoka ghafla hivi
Timu haina falsafa hakuna tena ule moira wa speed wa kugusa na kuachia twende kwao ndani ya mechi moja tu tayari kashaanza kurudi kule kule
Alikuwa Singida sasa hivi imepoteana ili sare na kagera sugar juzi leo imekaangwa na KMC
Kamuanzisha Chama kwenye gemu ngumu kama hii, kwa haiba ya Aziz ki lazima wakorofishane na huyu kocha,
Ataleta migogoro ya kufa mtu na ataua kipaji cha wachezaji wengi akiwemo mzize na kibwana
Nimesema mapema
Asipofukuzwa huyu kocha mtakuja kustuka yanga imebaki makopo
Nawasilisha