Kocha huyu Mzungu wa Yanga akiendelea na Ubishi hatadumu Yanga

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Huyu kocha mzungu inawezekana asidumu kabisa maana analeta mambo ya ubishi. Wachezaji leo waliambiwa namna ya kufanya ili washinde na kamati ya Ufundi.

Kocha amekataa yale masharti anasema anataka wacheze mpira uwanjani masuala ya kishirikina anasema hataki.

Huyu kocha asilete mambo yake ya kizungu huku.huu mpira wetu huwa unaanza kuchezwa nje ya uwanja.uwanjani ni kumalizia tu.asilete mambo yake ya kipuuzi.yanga tukifungwa mara mbili tunamwondoa.
 

Mkono wenye shombo haufukuzi paka

Labda mfukuze yanga nzima muanzishe jina lingine na wachezaji wengine, naskia hiyo ni laana ya simba m'mepewa
 
Kwani si mlisema mshirikina ni Kagere na hash tag kibao nilimuwekea Leo nini tena eti we chizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmeanza tulia basi dawa ingie sindano isije vunjikia huko
 
yaani wewe unaleta ushirikina sio!, Yanga kweli mmechanganyikiwa, nyie timu hamna, ile draw ya Simba isiwadanganye. Huo ushirikina wenu kama unasaidia pelekeni Taifa Starz tuchukue kombe la dunia!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pingili ya mua uazama mkiani mwa simba
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alaa kwanza mngemroga kocha ili atumie akili zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi, hayo mambo ya 5imba.
Baada ya bima ya Kagere kuharibiwa, wameamua kumrudisha mbeba bima maarufu wa Tanzania - Ramadhani Siza Kichuya.
 
Aisee wewe ndo ulikuwa Mganga nini wamekunyima tender

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…