Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Huyu kocha mzungu inawezekana asidumu kabisa maana analeta mambo ya ubishi. Wachezaji leo waliambiwa namna ya kufanya ili washinde na kamati ya Ufundi.
Kocha amekataa yale masharti anasema anataka wacheze mpira uwanjani masuala ya kishirikina anasema hataki.
Huyu kocha asilete mambo yake ya kizungu huku.huu mpira wetu huwa unaanza kuchezwa nje ya uwanja.uwanjani ni kumalizia tu.asilete mambo yake ya kipuuzi.yanga tukifungwa mara mbili tunamwondoa.