Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo anayesema tumelala kapata wapi matokeo????...
Game inaendelea matokeo mpaka sasa ni 1-1,jamaa walikuwa wanaongoza kwa goli 1 lakini Golden Boy Mbwana Samatta akasawazisha,so mpaka sasa matokeo ni 1-1,mechi inakaribia kuisha....
Shukurani mkuu ingawa BBC wanasema ni Athumani Machupa.
Sijui pakoje hapo?
Wamesahihisha..siyo Machupa
Du Stars imepigwa goli la 2. Hii balaa sasa.
Inaonekana Machupa katukosesha magoli mengi ya wazi according to BBC.