Kocha Juma Mgunda kung'ang'ania Simba SC ni kuendelea kujishushia heshima na kujidumaza akili yako

Acha kumjaza ujinga Simba na yanga Kwa Tz ndiyo timu zenye pesa kwahiyo acha ale mshahara mnono
 
Yaani umeandika pumba Ina maana akiwa kocha mkuu Azam, singida una uhakika hawezi kupiga mpunga??

Mpaka awe mpaka koni pale msimbazi acha Mambo yako bhana .

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
We jamaa una akili za kijinga sasa aende Azam na Singida kwani hizo timu zilikwambia kuwa zimemuhitaji Mgunda na akakataa.
Watz uachage ujuaji ya kijinga.
 
Hakuna kocha ambaye hapendi kufanya kaz kwenye timu kubwa. Pia hela zinaruhusu kwanini apate shida wakati simba wanampa kile anchohitaji.#NALIA NGWENA said
 
sasa hapa umeandika nini hasa?
 
Yaani umeandika pumba Ina maana akiwa kocha mkuu Azam, singida una uhakika hawezi kupiga mpunga??

Mpaka awe mpaka koni pale msimbazi acha Mambo yako bhana .

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Je una uhakika hao azam, singida wanamtaka awe kocha wao mkuu? Au unajiendea tu kua hapa nimekuja kua kocha mkuu?
 
Hakuna kocha ambaye hapendi kufanya kaz kwenye timu kubwa. Pia hela zinaruhusu kwanini apate shida wakati simba wanampa kile anchohitaji.#NALIA NGWENA said
Una uhakika kuwa mgunda anapewa kile anachokihitaji,

Mgunda Hana furaha anataka yeye ndiyo awe kocha mkuu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…