ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Simba walimkuta coast akiwa kocha wakampa dau zuri wakamchukua, sasa kama kuna timu inamuhitaji imfate akiwa simba wampe dau zaidi ya analo pokea simba tuone kama atakataa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba walimkuta coast akiwa kocha wakampa dau zuri wakamchukua, sasa kama kuna timu inamuhitaji imfate akiwa simba wampe dau zaidi ya analo pokea simba tuone kama atakataa.
Mbona mlipiga makelele ya matola aondoke na wakati ni kocha mzawa pale simba kajifunza sana kwa makocha wengi wakigeni wamemkuta pale na wamemuachaMgunda anajifunza, elewa mbinu zinatofautiana kufanya kazi na mwalimu bora ni bahati. Mgunda komaa muda ukifika utatafuta timu ya kufundisha.
Sasa mbona unampangia pa kwenda?
Naam, mlio karibu na kocha juma mgunda naomba mumuonyeshe mawazo na fikra sahihi yaliyoandikwa na the great thinker NALIA NGWENA.
Ndiyoo ukweli mchungu lakini pia ni tiba kwa mtu mwelevu na mwenye kufikiria. Nimeikumbuka coastal union ya mgunda ambayo yanga alikua hapati matokeo kirahisi na hata akipata lazima yanga afanye kazi kweli kweli.
Mpaka zikaibuka kelele za mashabiki nakudai kuwa coast ni simba B ipo ili kuikazia yanga isipate pointi tatu muhimu.
Kumbe haikua hivyo Bali ni tecninic mujarabu za mwamba mmoja aliyependa kuvaa msuli na siyo mwingine Bali ni kocha wa mpira pep gadiola mnene Al watani juma mgunda mzawa.
Huyu mwamba anauwezo mkubwa ni moja Kati ya makocha wazawa taifa linawahitaji katika kukuza mpira wetu huu.
Kila nikikumbuka fainali ya kombe la azam, mgunda akiwa benchi na kikosi chake kikiikabili yanga nakutoa sare ya mabao matatu kwa kila timu mpaka kupigwa mikwaju ya penati na ndipo yanga anaibuka kidedea nakuchukua kombe.
Ilikua ni bonge la fainali juma mgunda alipambana na kocha nabi kimbinu mpaka mchezo unamalizika.
Hakika mwamba mgunda alitekeleza majukumu yake ipasavyo. Kila nikikumbuka mbinu zake alizozitumia kuisogeza simba sc kimataifa baada ya simba kumfukuza kocha naona kabisa mgunda anasitahili kuwa na timu na siyo kuwa kocha msaidizi.
Kila nikiitazama azam, singida na ihefu naona kabisa mzawa mgunda anastahili kuwa kocha wa hizo timu na ataleta upinzani mkubwa katika timu kongwe za kariakoo.
Kwa uwezo alionao mgunda hastahili kuwa kocha msaidizi pale simba, hayo Mambo amuachie suleimani matola maana bado anajifunza na aendelee kugain experience kutoka kwa hao makocha wageni.
Inanisikitisha sana kumuona robertinho akipiga tumbo la mgunda kwa midadi kabisa baada yakuona mchezaji wake amekosa au amepata goli, kiukweli hii ni dharau kabisa.
Kila ninapo muona munda kwenye benchi la simba huwa napata majibu kuwa wachezaji wa kibongo na makoncha ndoto yao kubwa ni kucheza au kufundisha yanga na simba tu, na ndiyo maana kocha au mchezaji anafurahia kukaa benchi hata Kama akiwa hapati namba.
Nikiwa Kama mdau wa mpira NALIA NGWENA THE GREAT THINKER nakuambia juma mgunda nenda katafute timu kwani kung'ang'ania simba nikujishushia heshima maana hao makocha wa kigeni wanaokuja hapo hakuna kigeni usichokijua.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile appGreat Thinker na hujui
GREAT THINKERNaam, mlio karibu na kocha juma mgunda naomba mumuonyeshe mawazo na fikra sahihi yaliyoandikwa na the great thinker NALIA NGWENA.
Ndiyoo ukweli mchungu lakini pia ni tiba kwa mtu mwelevu na mwenye kufikiria. Nimeikumbuka coastal union ya mgunda ambayo yanga alikua hapati matokeo kirahisi na hata akipata lazima yanga afanye kazi kweli kweli.
Mpaka zikaibuka kelele za mashabiki nakudai kuwa coast ni simba B ipo ili kuikazia yanga isipate pointi tatu muhimu.
Kumbe haikua hivyo Bali ni tecninic mujarabu za mwamba mmoja aliyependa kuvaa msuli na siyo mwingine Bali ni kocha wa mpira pep gadiola mnene Al watani juma mgunda mzawa.
Huyu mwamba anauwezo mkubwa ni moja Kati ya makocha wazawa taifa linawahitaji katika kukuza mpira wetu huu.
Kila nikikumbuka fainali ya kombe la azam, mgunda akiwa benchi na kikosi chake kikiikabili yanga nakutoa sare ya mabao matatu kwa kila timu mpaka kupigwa mikwaju ya penati na ndipo yanga anaibuka kidedea nakuchukua kombe.
Ilikua ni bonge la fainali juma mgunda alipambana na kocha nabi kimbinu mpaka mchezo unamalizika.
Hakika mwamba mgunda alitekeleza majukumu yake ipasavyo. Kila nikikumbuka mbinu zake alizozitumia kuisogeza simba sc kimataifa baada ya simba kumfukuza kocha naona kabisa mgunda anasitahili kuwa na timu na siyo kuwa kocha msaidizi.
Kila nikiitazama azam, singida na ihefu naona kabisa mzawa mgunda anastahili kuwa kocha wa hizo timu na ataleta upinzani mkubwa katika timu kongwe za kariakoo.
Kwa uwezo alionao mgunda hastahili kuwa kocha msaidizi pale simba, hayo Mambo amuachie suleimani matola maana bado anajifunza na aendelee kugain experience kutoka kwa hao makocha wageni.
Inanisikitisha sana kumuona robertinho akipiga tumbo la mgunda kwa midadi kabisa baada yakuona mchezaji wake amekosa au amepata goli, kiukweli hii ni dharau kabisa.
Kila ninapo muona munda kwenye benchi la simba huwa napata majibu kuwa wachezaji wa kibongo na makoncha ndoto yao kubwa ni kucheza au kufundisha yanga na simba tu, na ndiyo maana kocha au mchezaji anafurahia kukaa benchi hata Kama akiwa hapati namba.
Nikiwa Kama mdau wa mpira NALIA NGWENA THE GREAT THINKER nakuambia juma mgunda nenda katafute timu kwani kung'ang'ania simba nikujishushia heshima maana hao makocha wa kigeni wanaokuja hapo hakuna kigeni usichokijua.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Unabishana na THE GREAT THINKER? 😄We jamaa una akili za kijinga sasa aende Azam na Singida kwani hizo timu zilikwambia kuwa zimemuhitaji Mgunda na akakataa.
Watz uachage ujuaji ya kijinga.
Alikwambia hana furaha?Una uhakika kuwa mgunda anapewa kile anachokihitaji,
Mgunda Hana furaha anataka yeye ndiyo awe kocha mkuu.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Asante mkuu kwa kulitambua hiloUnabishana na THE GREAT THINKER? [emoji1]
Hapana niliambiwa na wewe mbumbumbu fcAlikwambia hana furaha?
Unataka aende wapi utakapomlipa pesa kubwaNaam, mlio karibu na kocha juma mgunda naomba mumuonyeshe mawazo na fikra sahihi yaliyoandikwa na the great thinker NALIA NGWENA.
Ndiyoo ukweli mchungu lakini pia ni tiba kwa mtu mwelevu na mwenye kufikiria. Nimeikumbuka coastal union ya mgunda ambayo yanga alikua hapati matokeo kirahisi na hata akipata lazima yanga afanye kazi kweli kweli.
Mpaka zikaibuka kelele za mashabiki nakudai kuwa coast ni simba B ipo ili kuikazia yanga isipate pointi tatu muhimu.
Kumbe haikua hivyo Bali ni tecninic mujarabu za mwamba mmoja aliyependa kuvaa msuli na siyo mwingine Bali ni kocha wa mpira pep gadiola mnene Al watani juma mgunda mzawa.
Huyu mwamba anauwezo mkubwa ni moja Kati ya makocha wazawa taifa linawahitaji katika kukuza mpira wetu huu.
Kila nikikumbuka fainali ya kombe la azam, mgunda akiwa benchi na kikosi chake kikiikabili yanga nakutoa sare ya mabao matatu kwa kila timu mpaka kupigwa mikwaju ya penati na ndipo yanga anaibuka kidedea nakuchukua kombe.
Ilikua ni bonge la fainali juma mgunda alipambana na kocha nabi kimbinu mpaka mchezo unamalizika.
Hakika mwamba mgunda alitekeleza majukumu yake ipasavyo. Kila nikikumbuka mbinu zake alizozitumia kuisogeza simba sc kimataifa baada ya simba kumfukuza kocha naona kabisa mgunda anasitahili kuwa na timu na siyo kuwa kocha msaidizi.
Kila nikiitazama azam, singida na ihefu naona kabisa mzawa mgunda anastahili kuwa kocha wa hizo timu na ataleta upinzani mkubwa katika timu kongwe za kariakoo.
Kwa uwezo alionao mgunda hastahili kuwa kocha msaidizi pale simba, hayo Mambo amuachie suleimani matola maana bado anajifunza na aendelee kugain experience kutoka kwa hao makocha wageni.
Inanisikitisha sana kumuona robertinho akipiga tumbo la mgunda kwa midadi kabisa baada yakuona mchezaji wake amekosa au amepata goli, kiukweli hii ni dharau kabisa.
Kila ninapo muona munda kwenye benchi la simba huwa napata majibu kuwa wachezaji wa kibongo na makoncha ndoto yao kubwa ni kucheza au kufundisha yanga na simba tu, na ndiyo maana kocha au mchezaji anafurahia kukaa benchi hata Kama akiwa hapati namba.
Nikiwa Kama mdau wa mpira NALIA NGWENA THE GREAT THINKER nakuambia juma mgunda nenda katafute timu kwani kung'ang'ania simba nikujishushia heshima maana hao makocha wa kigeni wanaokuja hapo hakuna kigeni usichokijua.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Vitengo ndio mdudu gani ?Unajua kaze anavitengo vingapi?? Tuanzie hapo kwanza.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Soma vizuri ndiyo uje kujibuUnataka aende wapi utakapomlipa pesa kubwa
Sawa The Great thinker
Una ushahidi gani kuwa analipwa pesa ndefu.Kikubwa pesa mshahara anaopokea simba ataupata wapi Tanzania hata akiwa head coach.
[emoji16]Makocha wa kibongo nao ni mashabiki ni ngumu kuaminika mfano Mgunda, Matola, Nsajigwa, Julio, Mkwasa hawachelewi kuuza mechi
Umemaliza, Kuna miwatu inapenda kuwa sehemu ya maisha ya wengine wakati yakwao yanawashinda.Hakuna heshima kubwa zaidi ya kuwa na pesa. Hata Feitoto aliamua kulianzisha baada ya kuona anapewa heshima za kijinga huku akina Aziz Ki wanaorukaruka wakilamba hela zaidi ya mara tano yake. Usijifanye una akili kuliko Mgunda hadi uwe mshauri wake.
Hapa juzi Ibrahim Ajib aliwajibu wanaomsisitiza eti aende Ulaya, akawaambia hata nao wana nafasi ya kwenda Ulaya kama wanaona ni pazuri. Kwa hiyo na wewe kama unaona ukocha mkuu ni mzuri, kuwa wewe