Kocha Juma Mgunda kung'ang'ania Simba SC ni kuendelea kujishushia heshima na kujidumaza akili yako

Una uhakika kuwa mgunda anapewa kile anachokihitaji,

Mgunda Hana furaha anataka yeye ndiyo awe kocha mkuu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile a

Una uhakika kuwa mgunda anapewa kile anachokihitaji,

Mgunda Hana furaha anataka yeye ndiyo awe kocha mkuu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ndio nina uhakika kwenye mpira kikubwa watu wanaangalia masilahi hayo mengine ya furaha uja baadae.
 
Acha kujidanganya ww
 
Achana na Mgunda wetu haraka sana simba tukifungwa mzawa etu Mgunda hapati lawama,
Lawama zote kwa locha mkuu🤣
 
Yaani umeandika pumba Ina maana akiwa kocha mkuu Azam, singida una uhakika hawezi kupiga mpunga??
Mpaka awe mpaka koni pale msimbazi acha Mambo yako bhana .
Kwani umesikia Azam na Singida BS wanamuhitaji Mgunda akawe kocha mkuu huko kwa dau kubwa zaidi ya analolipata?
 
Huko utopoloni wajinga wanazaliwa kila kunapokucha. Sijui tatizo ni nini!!
 
Achana na Mgunda wetu haraka sana simba tukifungwa mzawa etu Mgunda hapati lawama,
Lawama zote kwa locha mkuu[emoji1787]
Simba ilipochezea kichapo dhidi ya Azam nakudondosha point, mashabiki mliibuka nakusema kuwa mgunda anamshauri vibaya kocha mkuu ili akosee kocha mkuu awe yeye mgunda.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…