Kocha Juma Mgunda kung'ang'ania Simba SC ni kuendelea kujishushia heshima na kujidumaza akili yako

Mgunda anajifunza, elewa mbinu zinatofautiana kufanya kazi na mwalimu bora ni bahati. Mgunda komaa muda ukifika utatafuta timu ya kufundisha.
 
Mgunda anajifunza, elewa mbinu zinatofautiana kufanya kazi na mwalimu bora ni bahati. Mgunda komaa muda ukifika utatafuta timu ya kufundisha.
Mbona mlipiga makelele ya matola aondoke na wakati ni kocha mzawa pale simba kajifunza sana kwa makocha wengi wakigeni wamemkuta pale na wamemuacha

Mgunda hakuna anachojifunza hapo Bali anadumaza akili yake tu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 

GREAT THINKER
Ni mwerevu na sio mwelevu,
Jitahidi kufahamu wapi utumie herufi kubwa kwenye majina.........
Ni hayo tu kwa leo THE GREAT THINKER
 
Unataka aende wapi utakapomlipa pesa kubwa
 
Kikubwa pesa mshahara anaopokea simba ataupata wapi Tanzania hata akiwa head coach.
 
Makocha wa kibongo nao ni mashabiki ni ngumu kuaminika mfano Mgunda, Matola, Nsajigwa, Julio, Mkwasa hawachelewi kuuza mechi
 
Umemaliza, Kuna miwatu inapenda kuwa sehemu ya maisha ya wengine wakati yakwao yanawashinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…