fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
macabi tel aviv israelHIV novatus anachezea Klabu ipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
macabi tel aviv israelHIV novatus anachezea Klabu ipi
goli la kwanza kafunga rani anacheza ujerumani magharibi,la pili katufunga amoura anacheza uswissGoli la kwanza hakuna wa kumlaumu, Timu nzima ilikuwepo pale. Lile goli walisha lifanyia mazoezi katika uwanja wa mazoezi.
Angalia mpigaji wa faul alipo u curve mpira usiende golini uende eneo huru alafu Kuna mtu anapita akijua kabisa mpira hauendi golini alafu jamaa anaurudisha kwenye 18 yetu. Jamaa wanavamia goli letu na kufunga.
Nigoli la mipango Sema sisi mashabiki tumelichukulia kama goli la kawaida.
Goli la pili ni counter attack iliyo kubali hakuna namna tulikua out of shape kwenye difence.
Pumba kaongeza na mahaba ya timu yakeUmeongea pumba tupu, Kim ameibadilisha sana Stars, hv wewe ulitegemea Leo utashinda kwa Algeria, we kweli popoma
Hawana ubora wowote ule wa kutisha. Kocha alichangia timu kucheza hovyo. Na mfano mzuri ni pale alipo muanzisha Nickson Kibabage kucheza namba 11!Tukubali Algeria wamedhihirisha ubora wao. Wachezaji wetu wamejitahidi ila wamekutana na quality iliyo amua mchezo.
Kumlaumu kocha Kwa wachezaji tulionao kulinganisha na mpizani wetu ni ku ukosea heshma mpira wetu.
Uko sahihi kabisa. Kama benchi la ufundi na wachezaji wangeutazama ule mchezo wa Algeria na Uganda, wasingefungwa goli la kizembe kiasi kile.Goli la kwanza lawama benchi la ufundi na wachezaji hawakuangalia mechi ya Algeria vs Uganda. Goli tulilofungwa ndilo walilofungwa Uganda the same scenario.
Goli la pili walimtoa Novatus katikati ukawa uchochoro.
Wenyewe wanajua nasema ukweli
Ili uwe Bora inabidi ucheze na waliobora wakuonyeshe udhaifu wako. Tuliwamudu Algeria katika kuwazuia wasitutawale maeneo mengi ila quality Yao bado iliwapa matokeo. Kama Algeria wanakutawala katika maeneo mengi ni hatari sana.Tukienda AFCON nakata rufaa CAF maana huko haitakuwa aibu tena bali ni fedheha kwa taifa. Maana tayari kule kuna Morocco, Egypt, Tunisia, South Africa, Senegal, Nigeria. Hawa wote ni sawa na wanachama wa kudumu wa mashindano ya CAF
huna hoja! lazima tuwakosoe si wanatuita tukawaangalie uwanjani unataka wakivurunda tukae kimya? tunakosoa ili kuwafanya wawe bora kwa hiyo unataka kusema wachambuzi wote duniani wawatoe makocha wawe wao makocha?Kina Ally Mayai, Ally Kamwe wasikosoe wachovu sababu si makocha?omba hiyo kazi ya ukocha ufundishe wewe