GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Makundi kwa kupitia mgongo wa ZALANI, sio kipimo sahihi.Plan zilikuwa tufike makundi, hapo tupo tunachukua experience mwaka ujao inshallah tukijaliwa tutakuja na malengo makubwa zaidi.
kwani zalani ni timu ya mpira wa pete?Makundi kwa kupitia mgongo wa ZALANI, sio kipimo sahihi.
Mwakani nenda kapange wewe zile pot umweke umpendaeMakundi kwa kupitia mgongo wa ZALANI, sio kipimo sahihi.
Plan zilikuwa tufike makundi, hapo tupo tunachukua experience mwaka ujao inshallah tukijaliwa tutakuja na malengo makubwa zaidi.
Kwani we hufuatilii mpira jombaa, mbona hyo rais said alishaongea tangu msimu uliopita bad luck hatukufika tukaangua shirikisho na msimu huu akarudia tena kuwa lengo Bado ni kufika group stages CL, bahati mbaya wewe unaongelea maneno ya mashabiki sisi ni watani na kutaniana ni lazima ukichukia hyo ni juu yakoHizi ni plan zako wewe au ndo za utopoloni kwenu na inginia? Mmeibeza sana simba ooh robo robo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmeaona mziki wakufika robo ulivyo dadeki zenu?? Mjifunze kukaa kimya kule ni kwa wakubwa ukifika robo unafanya sherehe
Lakin walifuzu 🤪Always makolo ni wajinga wanashangaa yanga kupata point moja mechi mbili na wanasahau wao msimu uliopita mechi mbili hawakua na point hata moja, mechi ya kwanza walichapwa moja mtungi na Horoya then wakaja wakabakwa mara tatu na mwarabu Raja Casablanca ya Morocco na leo wamesau au ndio kuijizima data
Mmehamia kwa Yanga je mmemaliza kuichambua timu yenu isiyoshinda mechi hata moja msimu huu?Mkuu uko sahihi kabisa jana jamaa wame koswakoswa mbayaaa. Naona kwenye kundi lao Utoo ataongoza kwa kuruhusu goli nyingii zaidi. Hii ndo CAFCL sio bla blaa....
Lakin walifuzu 🤪
Hapo vipi Mzee wa Kawe Mzimuni.Mechi 2, Alama 1, Goli za Kufungwa mpaka sasa ni 4 na uko wa Mwisho katika Kundi halafu bado kabisa mlivyo watupu Vichwani mnatamba mtatoboa hadi Robo Fainali ya CAFCL.
Ukisahau kuwa hata Weekend ijayo tu Watoto wa Hayati Kwame Nkurumah wanaenda Kukupasua Kwao bila ya Huruma na ubakie na hako hako Kaalama tumoja twako.
Tatizo lao hawajitambui.Always makolo ni wajinga wanashangaa yanga kupata point moja mechi mbili na wanasahau wao msimu uliopita mechi mbili hawakua na point hata moja, mechi ya kwanza walichapwa moja mtungi na Horoya then wakaja wakabakwa mara tatu na mwarabu Raja Casablanca ya Morocco na leo wamesau au ndio kuijizima data
Wewe mtu mfupi msimu ulio pita mechi mbili za mwanzo mlikua na points ngapi na goli ngapi?Mechi 2, Alama 1, Goli za Kufungwa mpaka sasa ni 4 na uko wa Mwisho katika Kundi halafu bado kabisa mlivyo watupu Vichwani mnatamba mtatoboa hadi Robo Fainali ya CAFCL.
Ukisahau kuwa hata Weekend ijayo tu Watoto wa Hayati Kwame Nkurumah wanaenda Kukupasua Kwao bila ya Huruma na ubakie na hako hako Kaalama tumoja twako.