fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
tuwe wavilivu tusubiriMechi 2, Alama 1, Goli za Kufungwa mpaka sasa ni 4 na uko wa Mwisho katika Kundi halafu bado kabisa mlivyo watupu Vichwani mnatamba mtatoboa hadi Robo Fainali ya CAFCL.
Ukisahau kuwa hata Weekend ijayo tu Watoto wa Hayati Kwame Nkurumah wanaenda Kukupasua Kwao bila ya Huruma na ubakie na hako hako Kaalama tumoja twako.