fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
tuwe wavilivu tusubiriMechi 2, Alama 1, Goli za Kufungwa mpaka sasa ni 4 na uko wa Mwisho katika Kundi halafu bado kabisa mlivyo watupu Vichwani mnatamba mtatoboa hadi Robo Fainali ya CAFCL.
Ukisahau kuwa hata Weekend ijayo tu Watoto wa Hayati Kwame Nkurumah wanaenda Kukupasua Kwao bila ya Huruma na ubakie na hako hako Kaalama tumoja twako.
Mlimpenda sana mayele badala ya kufikiri nje ya sanduku 'good players have to be handled with precautions'Plan zilikuwa tufike makundi, hapo tupo tunachukua experience mwaka ujao inshallah tukijaliwa tutakuja na malengo makubwa zaidi.
Wewe mbwa ulifia wapi naona matako yanauma hadi Leo kwa kukupiga bao tano panya weeeee.Mechi 2, Alama 1, Goli za Kufungwa mpaka sasa ni 4 na uko wa Mwisho katika Kundi halafu bado kabisa mlivyo watupu Vichwani mnatamba mtatoboa hadi Robo Fainali ya CAFCL.
Ukisahau kuwa hata Weekend ijayo tu Watoto wa Hayati Kwame Nkurumah wanaenda Kukupasua Kwao bila ya Huruma na ubakie na hako hako Kaalama tumoja twako.
Umefika final shirikisho why uplan kuishia makundi club bingwa?Plan zilikuwa tufike makundi, hapo tupo tunachukua experience mwaka ujao inshallah tukijaliwa tutakuja na malengo makubwa zaidi.
Mzee yanga akifika hyo robo, utasema nini kingineHizi ni plan zako wewe au ndo za utopoloni kwenu na inginia? Mmeibeza sana simba ooh robo robo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmeaona mziki wakufika robo ulivyo dadeki zenu?? Mjifunze kukaa kimya kule ni kwa wakubwa ukifika robo unafanya sherehe
Said ana akili Sana maana anajua anaongoza mambuz yasio na akili.Kwani we hufuatilii mpira jombaa, mbona hyo rais said alishaongea tangu msimu uliopita bad luck hatukufika tukaangua shirikisho na msimu huu akarudia tena kuwa lengo Bado ni kufika group stages CL, bahati mbaya wewe unaongelea maneno ya mashabiki sisi ni watani na kutaniana ni lazima ukichukia hyo ni juu yako
Alisema nani Mangungu? Hersi ndio Rais wa club au una statement nyingine kutoka ukoloni?Umefika final shirikisho why uplan kuishia makundi club bingwa?
Nyie si mlisema yanga atafika final club bingwa na hakuna WA kuwazuia ,acheni uoga malengo yanapaswa angalau iwe robo ambayo mnamcheka Simba kua anaishia hapo tu Kila msimu.
Kuonyesha ukubwa wenu nyie malengo yalipaswa iwe nusu Zaid ya robo anayoifikia Simba na huku mkimcheka .
Mlitembelea upepo WA marumo na vibonde wengine saiz mmeanza kuona uhalisia mnajificha kwenye malengo ya makundi.
Nyie wenye akili mliambiwa [emoji2772]FC inacheza vizuri kuliko waliofika finalSaid ana akili Sana maana anajua anaongoza mambuz yasio na akili.
So hata msipofika robo hamna Cha kumweleza maana tayar alishawapanga kitambo .
Ukiwa na akili timamu huwez kwenda shulen huku ukiwa na malengo ya kupata wastan D .
Mwenzenu alishaona ugumu Huko club bingwa ndipo akawawahi na nyie mmejaa ,said anajua hata shirikisho kufika final ilikua bahat ya mtende ambayo haiwez jirudia Tena.
Na Yanga atafuzu, ana nafasi hiyoLakin walifuzu [emoji2957]
Mkuu kwani game za group stage zimeisha? au ndio bado mnajifariji na kichapo cha goli 5 kwa kuiponda yanga?Hizi ni plan zako wewe au ndo za utopoloni kwenu na inginia? Mmeibeza sana simba ooh robo robo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmeaona mziki wakufika robo ulivyo dadeki zenu?? Mjifunze kukaa kimya kule ni kwa wakubwa ukifika robo unafanya sherehe
Muda mwingine utumie akili ya mpira na uache ushabiki.Said ana akili Sana maana anajua anaongoza mambuz yasio na akili.
So hata msipofika robo hamna Cha kumweleza maana tayar alishawapanga kitambo .
Ukiwa na akili timamu huwez kwenda shulen huku ukiwa na malengo ya kupata wastan D .
Mwenzenu alishaona ugumu Huko club bingwa ndipo akawawahi na nyie mmejaa ,said anajua hata shirikisho kufika final ilikua bahat ya mtende ambayo haiwez jirudia Tena.
Aisee sipati picha ungekuwa kijiweni povu linakutokaUmefika final shirikisho why uplan kuishia makundi club bingwa?
Nyie si mlisema yanga atafika final club bingwa na hakuna WA kuwazuia ,acheni uoga malengo yanapaswa angalau iwe robo ambayo mnamcheka Simba kua anaishia hapo tu Kila msimu.
Kuonyesha ukubwa wenu nyie malengo yalipaswa iwe nusu Zaid ya robo anayoifikia Simba na huku mkimcheka .
Mlitembelea upepo WA marumo na vibonde wengine saiz mmeanza kuona uhalisia mnajificha kwenye malengo ya makundi.
Kipimo sahihi ni power dynamosMakundi kwa kupitia mgongo wa ZALANI, sio kipimo sahihi.
Kinyeo chakoMavi yako ........
try again na mangungu bado wapo sana simbaMechi 2, Alama 1, Goli za Kufungwa mpaka sasa ni 4 na uko wa Mwisho katika Kundi halafu bado kabisa mlivyo watupu Vichwani mnatamba mtatoboa hadi Robo Fainali ya CAFCL.
Ukisahau kuwa hata Weekend ijayo tu Watoto wa Hayati Kwame Nkurumah wanaenda Kukupasua Kwao bila ya Huruma na ubakie na hako hako Kaalama tumoja twako.
Mzee yanga akifika hyo robo, utasema nini kingine