Mkuu siyo mwishoni mwa mwezi wa tano,ni mda wowote kuanzia sasa!Aman iwe nanyi
Yule kocha mbabe lwandamina wa yanga fc ameikacha team hiyo na kutimukia club yake ya zaman ya zesco fc
Taarifa inayo zagaa mitandaon inadai kuwa kocha huyu tiar ashasain zambia na mkataba wake na yanga unakamilika mwez wa tano mwishon
Kocha huyu atakumbukwa kama kocha mvumulivu sana
Ni kocha ambaye anaweza panga wachezaji wasio na majina kama mhilu na akachukua matokeo
Kwaher lwandamina bye bye
LONDON BOY
Lipeni mishahara, sasa hivimtaskia Ajibu kasaini Azam , Kamusoko kafiwa, Chirwa anauguza Zambia, Shishimbi mgonjwa and the like stories..Aman iwe nanyi
Yule kocha mbabe lwandamina wa yanga fc ameikacha team hiyo na kutimukia club yake ya zaman ya zesco fc
Taarifa inayo zagaa mitandaon inadai kuwa kocha huyu tiar ashasain zambia na mkataba wake na yanga unakamilika mwez wa tano mwishon
Kocha huyu atakumbukwa kama kocha mvumulivu sana
Ni kocha ambaye anaweza panga wachezaji wasio na majina kama mhilu na akachukua matokeo
Kwaher lwandamina bye bye
LONDON BOY
Kuna mtu anapenda kukaa na njaa? Hebu jaribu kuvaa viatu vyake uone kama ungeweza kuvumilia ‘kufunga’ kwa lazima.Aman iwe nanyi