Kocha Lwandamina aikacha klabu yangu ya Yanga SC, atimkia Zesco

Kocha Lwandamina aikacha klabu yangu ya Yanga SC, atimkia Zesco

Aman iwe nanyi

Yule kocha mbabe lwandamina wa yanga fc ameikacha team hiyo na kutimukia club yake ya zaman ya zesco fc

Taarifa inayo zagaa mitandaon inadai kuwa kocha huyu tiar ashasain zambia na mkataba wake na yanga unakamilika mwez wa tano mwishon

Kocha huyu atakumbukwa kama kocha mvumulivu sana

Ni kocha ambaye anaweza panga wachezaji wasio na majina kama mhilu na akachukua matokeo

Kwaher lwandamina bye bye

LONDON BOY

Inauma sana, Lwandamina ni bonge la kocha, yaani amekuwa na timu katika kipindi kigumu cha fedha na timu kuandamwa na majeruhi lakini bado timu imekuwa na matokeo mazuri kwenye ligi kushinda timu zenye hali nzuri kama Azam na Singida.

Nenda Lwanadamina utakumbukwa kwa uvumilivu wako na kuibeba timu katika kipindi kigumu japo ni mgeni.
 
Young inamakochazaidi yawatatu ataakiondoka clubaaitatetereka chezeatem yawananch
 
Mbabe ama amesoma nyakati ameona mchangani kunamhusu sasa anakula kona
 
....Huyu Kocha aliwapa nafasi wachezaji wasio na majina kuonyesha uwezo wao..
 
Alikuwa kocha mzuri ,ila timu haikufanikiwa katika mashindano yoyote ikiwa chini yake zaidi ya kutwaa kombe la vodacom kwa magoli ya kufunga.Nafikiri pia ukwasi unachangia kudidimiza mafanikio ya yanga.
 
Back
Top Bottom