Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 12,454
- 11,029
Aman iwe nanyi
Yule kocha mbabe lwandamina wa yanga fc ameikacha team hiyo na kutimukia club yake ya zaman ya zesco fc
Taarifa inayo zagaa mitandaon inadai kuwa kocha huyu tiar ashasain zambia na mkataba wake na yanga unakamilika mwez wa tano mwishon
Kocha huyu atakumbukwa kama kocha mvumulivu sana
Ni kocha ambaye anaweza panga wachezaji wasio na majina kama mhilu na akachukua matokeo
Kwaher lwandamina bye bye
LONDON BOY
Inauma sana, Lwandamina ni bonge la kocha, yaani amekuwa na timu katika kipindi kigumu cha fedha na timu kuandamwa na majeruhi lakini bado timu imekuwa na matokeo mazuri kwenye ligi kushinda timu zenye hali nzuri kama Azam na Singida.
Nenda Lwanadamina utakumbukwa kwa uvumilivu wako na kuibeba timu katika kipindi kigumu japo ni mgeni.