MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Wazee wa Fitna na Roho tumeshagawana Majukumu tayari huku wengine wakiwa Khartoum Sudan ambako tumeenda kutafuta Sare (Draw) tu ili tuje kupata Alama (Points) zetu 6 tu kwa Mkapa tuwe na Jumla ya Alama 13 tutinge Robo Fainali CL.
Nikiwa Kiongozi wa Kamati ya Fitna, Umafia na Roho mbaya niliyebaki kwa Kazi Maalum Tanzania tayari nimeshamaliza kwa Tanga na sasa Washindwe wenyewe tu Coastal Union ila sasa natangulia Arusha ambako Jumapili tena nataka Mtu Mzima si tu aumbuke bali pia aumie ili waanze sasa Kuvurugana, Kutimuana na Kuchapana Bakora vizuri.
Tunachokitaka tu ni kwamba Mtu Mzima huko Tanga leo Alhamisi na Arusha Jumapili ama apate Alama 1 au 2 tu ila tutafurahi zaidi kama akipata Alama 0 kote kote. Tunajua IGP ni Mshabiki wa Mtu Mzima hivyo anaweza aka influence matokeo ya Mechi ya Jumapili kwakuwa wanaocheza ni Boss wao Kiutendaji ila tunamwambia tu ndani ya hiyo Timu yake tuna Mamluki wetu 5 hivyo ajiandae tu Kisaikolojia kwa matokeo atakayoyapata.
Coastal Union na Polisi Tanzania msituangushe.