Kocha Mgunda, Wachezaji wako 9 na Waganga wenu 7 tumeshamalizana nanyi, hivyo tafadhali msituangushe leo

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Wazee wa Fitna na Roho tumeshagawana Majukumu tayari huku wengine wakiwa Khartoum Sudan ambako tumeenda kutafuta Sare (Draw) tu ili tuje kupata Alama (Points) zetu 6 tu kwa Mkapa tuwe na Jumla ya Alama 13 tutinge Robo Fainali CL.

Nikiwa Kiongozi wa Kamati ya Fitna, Umafia na Roho mbaya niliyebaki kwa Kazi Maalum Tanzania tayari nimeshamaliza kwa Tanga na sasa Washindwe wenyewe tu Coastal Union ila sasa natangulia Arusha ambako Jumapili tena nataka Mtu Mzima si tu aumbuke bali pia aumie ili waanze sasa Kuvurugana, Kutimuana na Kuchapana Bakora vizuri.

Tunachokitaka tu ni kwamba Mtu Mzima huko Tanga leo Alhamisi na Arusha Jumapili ama apate Alama 1 au 2 tu ila tutafurahi zaidi kama akipata Alama 0 kote kote. Tunajua IGP ni Mshabiki wa Mtu Mzima hivyo anaweza aka influence matokeo ya Mechi ya Jumapili kwakuwa wanaocheza ni Boss wao Kiutendaji ila tunamwambia tu ndani ya hiyo Timu yake tuna Mamluki wetu 5 hivyo ajiandae tu Kisaikolojia kwa matokeo atakayoyapata.

Coastal Union na Polisi Tanzania msituangushe.
 
Mgunda niliwahi kutana nae pale sabasaba ngoreme park ndio kiwanja chake cha kujidai kupiga masanga [emoji1787][emoji1787]
 
Kama hicho unachotuaminisha ingekuwa ni kweli basi tungeshachukua kombe la dunia.

Vv
 
Hahaaa karibu simba mkuu utapata presha za bure wakati timu simba haijafunga dirisha la kupokea mashabiki toka utopolooni [emoji1787

Hahaaa karibu simba mkuu utapata presha za bure wakati timu simba haijafunga dirisha la kupokea mashabiki toka utopolooni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niombe radhi wewe! Mimi ni Simba
Sema Jenta ni ovyo ovyo uandishi wake nowdays
 
Tayari kidimbwi kimeshatibuliwa huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…