KOCHA MKUU SIMBA: Roberto Oliviera (Vipers) vs Julian Chavelier (ASEC Mimosas)

Mgunda anatosha.
Nakuunga mkono mkuu, Mgunda anawatosha.

1. Anajua mbinu zote za ndani na nje ya uwanja.

2. Wachezaji wanamuelewa. Unajua makocha wengi waliamsha katika timu Yao, sio sababu ya uwezo mdogo, ni kwamba hawaeleweki vizuri kwa wachezaji. Mkude anapopewa maelekezo kwa English, huwa anapoteza takriban dakika 7 kutafsiri kwa Kiswahili alaf ndio hayafanyie kazi.

3. Atamsaidia Matola kuimprove kama kocha. Mashabiki wengi wa Simba huwa wanataka Matola atimuliwe, ila wasichojua ni kwamba club inamuandaa kuja kuchukua mikoba ya ukocha mkuu miaka ijayo. Kutokana na tatizo la lugha, mpaka sasa japo amekuwa msaidizi kwa makocha zaidi ya 6 ila Matola alichogain ni kidogo sana, kama walivyo watanzania wengi, kingereza kinamsumbua alaf anaona aibu kuuliza. Sasa uwepo wa Mgunda utasaidia kuboost career ya Matola.

4. Mgunda ni kocha mzuri, alaf gharama zake ndogo, kwahiyo hapa Simba watasave hela nyingi ambazo wanaweza kuzitumia kwenye mambo mengine klabuni
 
Kwa ushauri tu simba waache mambo ya kocha kwanza watulie dilisha dogo waongeze wachezaj muhimu kuanzia watatu ,baaadae ndio watafute kocha mzuri kama hao ,kwa timu ile watakuja kupata hasara bure
 
Matola aondoke kwanza, pengine ndo hao makocha wanaokuja wanaweza kufanikiwa!!!!!

Vinginevyo Matola ni kirusi
 
Kwa ushauri tu simba waache mambo ya kocha kwanza watulie dilisha dogo waongeze wachezaj muhimu kuanzia watatu ,baaadae ndio watafute kocha mzuri kama hao ,kwa timu ile watakuja kupata hasara bure
Kwa kocha huyu mgunda hata umletee kina messi hatufiki kokote,subiri klabu bingwa ianze na ligi uone tutakavyotepeta mzee
 
Haya masuala ya utamaduni wa timu kana kwamba tupo katika makumbusho ya kaole pale bagamoyo ndoyo yanakuja kuigharimu timu. Kwa kocha huyu mgunda tujiandae kisaikolojia kwa lolote. Kocha wa kozi za tff uje kumlinganisha na makocha wenye uefa pro license?
 
Hili
Huwezi kumiliki mpira bila kuwa na kasi.
Simba wanacheza slow sana.
Waangalie warabu wanavyocheza kasi mwanzo mwisho.
Hili nalizungumza wakati wote ila watu wasio na uelewa wa mpira hawawezi kuelewa!! Simba tunacheza very slow ,tempo yetu siku zote ipo chini ..watu wanataka biriani la back passes tu, hatupigi pasi kwenda mbele kama ilivyokuwa kipindi cha uchebe, darosa na kishingo.
 
Kwa hiyo Priva ndio umeanza hivyo..kuichonganisha Simba?!
 
Apewe chance bwana sasa lini wazawa wataaminiwa. Kama vigezo vya kukaa kwenye bench amekidhi shida ipo wapi
HV unaweza vipi fanya majarbio ya kumpa mkataba ??? Kwenye LiG mech znaendelea na lig ya mabingwa mashindano magumu??
 
HV unaweza vipi fanya majarbio ya kumpa mkataba ??? Kwenye LiG mech znaendelea na lig ya mabingwa mashindano magumu??
Wao wampe mkataba period hamna kujaribu hapo. Wamuulize yeye anataka afanye kazi na na i basi shughuli inaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…