Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo hii ndio sifa nzuri ya kocha?Sasa mbona hao wawili hawafikii rekodi ya Le professor Nasriden Nabi,mara ya mwisho kufungwa kwenye ligi ni 2020-2021 na Azam toka kipindi hiko mpaka hivi sasa hajui kupoteza.
Nakuunga mkono mkuu, Mgunda anawatosha.Mgunda anatosha.
Wewe unaonaje?Kwa hiyo hii ndio sifa nzuri ya kocha?
Huitakii mema simbaMgunda anatosha.
Kwa kocha huyu mgunda hata umletee kina messi hatufiki kokote,subiri klabu bingwa ianze na ligi uone tutakavyotepeta mzeeKwa ushauri tu simba waache mambo ya kocha kwanza watulie dilisha dogo waongeze wachezaj muhimu kuanzia watatu ,baaadae ndio watafute kocha mzuri kama hao ,kwa timu ile watakuja kupata hasara bure
[emoji849][emoji849]Wote hawafai. Achukuliwe Nabi, yeye hakupoteza hata moja.
Haya masuala ya utamaduni wa timu kana kwamba tupo katika makumbusho ya kaole pale bagamoyo ndoyo yanakuja kuigharimu timu. Kwa kocha huyu mgunda tujiandae kisaikolojia kwa lolote. Kocha wa kozi za tff uje kumlinganisha na makocha wenye uefa pro license?Nilikuwa nashangaa na kumtetea Matola Watu wanapomdiss kwamba ana kazi gani pale Simba.
Lakini imefika wakati nikajiuliza, Matola amekaa Muda mrefu Pale Simba na anaujua utamadunj wa uchezaji wetu. (Kumiliki MPIRA)
Sasa kwa nini Timu inacheza hovyo hovyo??? Yeye kwanini hasaidii ku-maintain falsafa ya Timu??
Kubabake mkuda asepe tu
Yale yale ya ManzokiMna hela? Au mna ropoka tu
Yañini usajili wachezaji wa gharama halafu aje kuwaweka benchi kama alivyofanya kwa dejanAcheni ujinga sajilini wachezaji Mgunda ni kocha bora
Hili nalizungumza wakati wote ila watu wasio na uelewa wa mpira hawawezi kuelewa!! Simba tunacheza very slow ,tempo yetu siku zote ipo chini ..watu wanataka biriani la back passes tu, hatupigi pasi kwenda mbele kama ilivyokuwa kipindi cha uchebe, darosa na kishingo.Huwezi kumiliki mpira bila kuwa na kasi.
Simba wanacheza slow sana.
Waangalie warabu wanavyocheza kasi mwanzo mwisho.
HV unaweza vipi fanya majarbio ya kumpa mkataba ??? Kwenye LiG mech znaendelea na lig ya mabingwa mashindano magumu??Apewe chance bwana sasa lini wazawa wataaminiwa. Kama vigezo vya kukaa kwenye bench amekidhi shida ipo wapi
Wao wampe mkataba period hamna kujaribu hapo. Wamuulize yeye anataka afanye kazi na na i basi shughuli inaendelea.HV unaweza vipi fanya majarbio ya kumpa mkataba ??? Kwenye LiG mech znaendelea na lig ya mabingwa mashindano magumu??