KOCHA MKUU SIMBA: Roberto Oliviera (Vipers) vs Julian Chavelier (ASEC Mimosas)

kachy

Senior Member
Joined
Jul 11, 2021
Posts
138
Reaction score
69
Wana Lunyas nani awe kocha mkuu kati ya hao mabwana wawili, Robertnho wa Vipers ya Uganda au Bwana Julian chavelier wa ASEC Mimosa?

Kwa upande wa Bwana Robertnho wa Vipers msimu jana kacheza mechi 30, kashinda 23, katoa sare 5 na kapoteza 2. KamaLiza msimu na point 74.

Kwa bwana mdogo wa ASEC Mimosos, msimu jana kaiongoza timu yake kutwaa ubingwa wa ligi hiyo. Ambapo katika mechi 26 kashinda 21, katoa sare 4 na ka kapoteza 1. Kamaliza msimu na poinT 67.

Kulingana ma tetesi hawa ndio makocha ambao wanapigiwa upatu kuchukua nafasi ya Zoran Mak.

Kwa upande wako wewe mwana Lunyas, nani achukuliwe mapema kati yao?
 
Mgunda anatosha.
An unasema mgunda anatosha kwa kigezo kipi ushindi wa mech4 sjuw 5 kweL nd apewe timu nyie nd mashabik maandaz anapewa mamB yanaenda kombo mnaanza kuLaumu afu kaa ukijua kocha hapew timu kwa mech 5 weww
 
Nilikuwa nashangaa na kumtetea Matola Watu wanapomdiss kwamba ana kazi gani pale Simba.

Lakini imefika wakati nikajiuliza, Matola amekaa Muda mrefu Pale Simba na anaujua utamadunj wa uchezaji wetu. (Kumiliki MPIRA)

Sasa kwa nini Timu inacheza hovyo hovyo??? Yeye kwanini hasaidii ku-maintain falsafa ya Timu??

Kubabake mkuda asepe tu
 
Lakini imefika wakati nikajiuliza, Matola amekaa Muda mfefu Pale Simba na anaujua utamadunj wa uchezaji wetu. (Kumiliki MPIRA)

Sasa kwa nini Timu inacheza hovyo hovyo??? Yeye kwanini hasaidii ku-maintain falsafa ya Timu??

Kubabake mkuda asepe tu
Hata mimi napata mashaka makubwa sana juu ya uwezo halisi wa Matola.
 
Wote hawafai. Achukuliwe Nabi, yeye hakupoteza hata moja.
Sema simba tuache unafiki tuwekane wazi kikos hatuna kabisa quality kulinganisha na watani wetu yanga sie simba tuna pLayer mmoja mmoja ambao wana QuaLity namaanishA nn embu angaLia eneo La kiungo tuna mkude tuaemtegemea as a holding mid ukichana na kanoute ambae kdogo anajitahidi weneztu wana bangaLa fuLL packagE then ukija eneO La viungO Washambuliaji nd usiseme kabisa sure boy,feisal,mauya,bigirimana aLooH auchO so poa wakat kwetu ss mid tunazozitegemea kaT chama na okrah duH
 
An unasema mgunda anatosha kwa kigezo kipi ushindi wa mech4 sjuw 5 kweL nd apewe timu nyie nd mashabik maandaz anapewa mamB yanaenda kombo mnaanza kuLaumu afu kaa ukijua kocha hapew timu kwa mech 5 weww
Apewe chance bwana sasa lini wazawa wataaminiwa. Kama vigezo vya kukaa kwenye bench amekidhi shida ipo wapi
 
Wana Lunyas nani awe kocha mkuu kati ya hao mabwana wawili, Robertnho wa Vipers ya Uganda au Bwana Julian chavelier wa ASEC Mimosa?

Kwa upande wa Bwana Robertnho wa Vipers msimu jana kacheza mechi 30, kashinda 23, katoa sare 5 na kapoteza 2. KamaLiza msimu na point 74.

Kwa bwana mdogo wa ASEC Mimosos, msimu jana kaiongoza timu yake kutwaa ubingwa wa ligi hiyo. Ambapo katika mechi 26 kashinda 21, katoa sare 4 na ka kapoteza 1. Kamaliza msimu na poinT 67.

Kulingana ma tetesi hawa ndio makocha ambao wanapigiwa upatu kuchukua nafasi ya Zoran Mak.

Kwa upande wako wewe mwana Lunyas, nani achukuliwe mapema kati yao?
Acheni ujinga sajilini wachezaji Mgunda ni kocha bora
 
Nilikuwa nashangaa na kumtetea Matola Watu wanapomdiss kwamba ana kazi gani pale Simba.

Lakini imefika wakati nikajiuliza, Matola amekaa Muda mrefu Pale Simba na anaujua utamadunj wa uchezaji wetu. (Kumiliki MPIRA)

Sasa kwa nini Timu inacheza hovyo hovyo??? Yeye kwanini hasaidii ku-maintain falsafa ya Timu??

Kubabake mkuda asepe tu
Huwezi kumiliki mpira bila kuwa na kasi.
Simba wanacheza slow sana.
Waangalie warabu wanavyocheza kasi mwanzo mwisho.
 
Sasa mbona hao wawili hawafikii rekodi ya Le professor Nasriden Nabi,mara ya mwisho kufungwa kwenye ligi ni 2020-2021 na Azam toka kipindi hiko mpaka hivi sasa hajui kupoteza.
 
Back
Top Bottom