BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
- Thread starter
- #161
Messi huyu jamaa enzi akiwa kwenye peak pale Barca, alikuwa naufanya mpira uonekane ni kitu rahisi mno...
Ilikuwa burudani sana kumtazama yeye na kina Iniesta wakitandaza kabumbu moja maridhawa sana...
Mara nyingi Messi asipocheza huwa siangalii game