BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
- Thread starter
-
- #161
Messi huyu jamaa enzi akiwa kwenye peak pale Barca, alikuwa naufanya mpira uonekane ni kitu rahisi mno...
Ilikuwa burudani sana kumtazama yeye na kina Iniesta wakitandaza kabumbu moja maridhawa sana...
Duh! Adebayor na ballon d'or!? Mwaka gani huo chief?
Hii uliipata kijiwe gani? Huyo muuza kahawa siku hiyo nadhani aliwamixia cocaone na kuberi humo
Sent using Jamii Forums mobile app
Aina ya uchezaji Messi anafanana na Maradona so Messi ni second version ya Maradona iliyo focus kwenye mpira wa kisasa wa numbers.
Kwa hilo nakataa.Aina ya uchezaji Messi anafanana na Maradona so Messi ni second version ya Maradona iliyo focus kwenye mpira wa kisasa wa numbers.