Kocha Mkuu wa Simba Achoshwa na wachezaji Wazee

Kocha Mkuu wa Simba Achoshwa na wachezaji Wazee

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
“Attack Attack “ Nataka wachezaji washambulie muda wote,Inakuwa ngumu kuingiza mbinu za kushambulia kwa sababu kwenye kikosi changu kuna idadi kubwa ya wazee (Wakongwe) Na mimi napenda kutoa nafasi kwa wachezaji vijana.
F9AD6E09-FDF6-4282-8288-A0B0C0D182A2.jpeg
 
Sasa huyo sio mzee, elewa swali
Kwenye mpira kijana ni kati ya miaka 15-29,kuanzia miaka 30 hadi 36 hao ni wachezaji wazee ,huwa akili na mwili havina mawasiliano ya haraka na wakiumia wanachelewa kupona
 
Kwenye mpira kijana ni kati ya miaka 15-29,kuanzia miaka 30 hadi 36 hao ni wachezaji wazee ,huwa akili na mwili havina mawasiliano ya haraka na wakiumia wanachelewa kupona
Sasa kauliza uzee unaanza miaka ngap? Hajauliza uzee wa wachezaji unaanza miaka ngap? Umeelewa mkuu
 
Back
Top Bottom