Kocha Mkwasa anastahili sifa

Kocha Mkwasa anastahili sifa

Mbotela

Senior Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
113
Reaction score
5
Kocha huyu anaonyesha uwezo wa juu kwa training.Naamini anaweza kuwa mkombozi hapa nchini.

Kocha aliyefukuzwa pengo lake limezibika kwa kumpata kocha mzawa aliye na ubora wa juu.
 
Mbinu za Babu wa Yanga na anamsaidia Sanaa Mkwasa
 
Unataka tufungwe tu. Kama aujasikia wala katazama. Sikiliza michezo kwa sasa utaipata habari
 
ila mvivu kusoma mchezo mfano tulikuwa tunaangalia alichelewa sana kufanya sabu faridi alishachoka kuanzia dk ya 60
 
Nina amini akipata muda zaidi anaweza kuibadili timu yetu,leo timu imeonyesha matumaini.
 
hata OTTU walimuimba CHARLES BONIFACE MKWASAAH
 
kwani wameashinda ngapi? mtujuze ambao hatujaona
 
Kocha huyu anaonyesha uwezo wa juu kwa training.Naamini anaweza kuwa mkombozi hapa nchini.

Kocha aliyefukuzwa pengo lake limezibika kwa kumpata kocha mzawa aliye na ubora wa juu.

Haa haa haa wabongo bwana, bongo zao zimechoka ile mbaya. Mechi moja tu unasifia na kujiapiza?
 
Nina amini akipata muda zaidi anaweza kuibadili timu yetu,leo timu imeonyesha matumaini.

Danganyika! Na mtaendelea kujipa matumaini na kujiliwaza kumbe mpira wetu ni bado kabisa. Subiri uone
 
Kocha huyu anaonyesha uwezo wa juu kwa training.Naamini anaweza kuwa mkombozi hapa nchini.

Kocha aliyefukuzwa pengo lake limezibika kwa kumpata kocha mzawa aliye na ubora wa juu.
Cookie, hii thread iende sports tasafali.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom