Fede Masolwa
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 529
- 123
Habar! naandika hivi kwasababu zifatazo.
1. Mkwasa ni kocha mzuri sanaa, anajua kufundisha mpira wa kibongo na wakimataifa (yanga) anaufahamu sanaa.
2. Julio ni kocha msomi, ana beji za kimataifa, ni mtaalamu wa mpira wa fitina nje ya uwanja, na mpira wa bongo anaujua sanaaaa.
SASA.
Namba moja anatasaidia sanaa kufundisha mpira ndani ya uwanja kimataifa na ndani. na namba mbili atasidia kusaka vipaji kila kona ya nchi na kumpa mkwasa na kuweka sawa plus vitina zake nje ya uwanja
Tiafa star hapo itakuwa bora, kuliko sasa bora taifa star.
Tukiweza kwa style hii, baadaye ndio tutaleta mzungu kufundisha mpira wa darasani.
Huu ndio ukweri ila huwa hatuupendi kuusikiaKati ya hawa hakuna hata mmoja aliyewahi kufanya la maana katika soka la Bongo zaidi ya kufundisha Yanga na Simba bila kutikisa Afrika. Hatutaki mpira wa kibongo bali tunataka mpira wa kimataifa na ulioenda shule. Tatizo la wachezaji wa Tanzania ni kwamba hawafundishiki na hii ni dhahiri kwa sababu si wachezaji kweli bali ni wachawi. Wenzetu wamewekeza kwenye vipaji siye mpaka leo hii bado tunakwenda uwanjani na viganja vya albino na ndiyo maana tumekuwa vibonde hata kwa Madagascar. Mpira ni kipaji si uchawi. Mfano kiangalieni ki-Ngassa....kimeenda Uingereza majaribioni pale London wakati West Ham ikiwa daraja la pili kashindwa hata namba ya benchi ya akiba akarudi Bongo na majigambo kibaoooo. Hiyo haikutosha akaenda Marekani akashindwa kupata namba matokeo yake katutia haibu kuwa Tanzania hatuna wachezaji wa maana. Ka-Ngassa haka haka hapa Bongo asipopangwa timu ya Taifa mashabiki wanatahamaki....hivi tunategemea nini kweli kumweka mtu kama Ngassa Taifa Stars? Makocha wote huko nje (Uingereza na marekani) wanasema hana kipaji na akili ya mpira ila bongo ni bonge la striker, huu kama si usanii wa kwa babu (uchawi) ni nini?
Habar! naandika hivi kwasababu zifatazo.
1. Mkwasa ni kocha mzuri sanaa, anajua kufundisha mpira wa kibongo na wakimataifa (yanga) anaufahamu sanaa.
2. Julio ni kocha msomi, ana beji za kimataifa, ni mtaalamu wa mpira wa fitina nje ya uwanja, na mpira wa bongo anaujua sanaaaa.
SASA.
Namba moja anatasaidia sanaa kufundisha mpira ndani ya uwanja kimataifa na ndani. na namba mbili atasidia kusaka vipaji kila kona ya nchi na kumpa mkwasa na kuweka sawa plus vitina zake nje ya uwanja
Tiafa star hapo itakuwa bora, kuliko sasa bora taifa star.
Tukiweza kwa style hii, baadaye ndio tutaleta mzungu kufundisha mpira wa darasani.
Habar! naandika hivi kwasababu zifatazo.
1. Mkwasa ni kocha mzuri sanaa, anajua kufundisha mpira wa kibongo na wakimataifa (yanga) anaufahamu sanaa.
2. Julio ni kocha msomi, ana beji za kimataifa, ni mtaalamu wa mpira wa fitina nje ya uwanja, na mpira wa bongo anaujua sanaaaa.
SASA.
Namba moja anatasaidia sanaa kufundisha mpira ndani ya uwanja kimataifa na ndani. na namba mbili atasidia kusaka vipaji kila kona ya nchi na kumpa mkwasa na kuweka sawa plus vitina zake nje ya uwanja
Tiafa star hapo itakuwa bora, kuliko sasa bora taifa star.
Tukiweza kwa style hii, baadaye ndio tutaleta mzungu kufundisha mpira wa darasani.
tungejiondoa kwanza kwenye mashindano ya kimataifa kama miaka mitano hivi ili tutie akili
Fede Masolwa nataman kuiona taifa staz isiyo na mchezaji hata mmoja kutoka simba yanga au hata na azam
Ndiyo itakuwa nzuri zaidi kwani timu za mikoani ndizo zichezazo mpira wa akili.
mkwasa kuna kipindi alipewa timu ya taifa akiwa anafundisha timu ya majeshi matokeo yake akawa anajaza wachezaji wa timu yake pale tff kuna tatizo kubwa zaidi au makocha hawana jipya lipi lilikuwa tatizo la kim poulsen huyo mayanga hadi anachaguliwa timu ya taifa kuwa kocha msaidizi alikuwa anafundisha wapi
Tatizo la wachezaji wetu nı washamba na hawajiamini.Wakichukuliwa mikoani ndo kabisaaa.Wakizomewa wanapotea kabisa,wakisemwa maredionı na magazetini wanatetemeka.Ronaldo anazomewa uwanja mzıma tena mashabiki laki lakini performance anamantain.Hawa jamaa wachimba chumvi tu, hawajiamıni na ninadhanı kutokumudu kwao Kizungu ndo kunawafanya wajione inferior.