Kocha Mkwasa na Julio kocha msaidizi sasa ndani ya Taifa Star

Fede Masolwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2013
Posts
529
Reaction score
123
Habar! naandika hivi kwasababu zifatazo.

1. Mkwasa ni kocha mzuri sanaa, anajua kufundisha mpira wa kibongo na wakimataifa (yanga) anaufahamu sanaa.

2. Julio ni kocha msomi, ana beji za kimataifa, ni mtaalamu wa mpira wa fitina nje ya uwanja, na mpira wa bongo anaujua sanaaaa.

SASA.
Namba moja anatasaidia sanaa kufundisha mpira ndani ya uwanja kimataifa na ndani. na namba mbili atasidia kusaka vipaji kila kona ya nchi na kumpa mkwasa na kuweka sawa plus vitina zake nje ya uwanja

Tiafa star hapo itakuwa bora, kuliko sasa bora taifa star.

Tukiweza kwa style hii, baadaye ndio tutaleta mzungu kufundisha mpira wa darasani.
 
Kati ya hawa hakuna hata mmoja aliyewahi kufanya la maana katika soka la Bongo zaidi ya kufundisha Yanga na Simba bila kutikisa Afrika. Hatutaki mpira wa kibongo bali tunataka mpira wa kimataifa na ulioenda shule. Tatizo la wachezaji wa Tanzania ni kwamba hawafundishiki na hii ni dhahiri kwa sababu si wachezaji kweli bali ni wachawi. Wenzetu wamewekeza kwenye vipaji siye mpaka leo hii bado tunakwenda uwanjani na viganja vya albino na ndiyo maana tumekuwa vibonde hata kwa Madagascar. Mpira ni kipaji si uchawi. Mfano kiangalieni ki-Ngassa....kimeenda Uingereza majaribioni pale London wakati West Ham ikiwa daraja la pili kashindwa hata namba ya benchi ya akiba akarudi Bongo na majigambo kibaoooo. Hiyo haikutosha akaenda Marekani akashindwa kupata namba matokeo yake katutia haibu kuwa Tanzania hatuna wachezaji wa maana. Ka-Ngassa haka haka hapa Bongo asipopangwa timu ya Taifa mashabiki wanatahamaki....hivi tunategemea nini kweli kumweka mtu kama Ngassa Taifa Stars? Makocha wote huko nje (Uingereza na marekani) wanasema hana kipaji na akili ya mpira ila bongo ni bonge la striker, huu kama si usanii wa kwa babu (uchawi) ni nini?
 
Fede Masolwa nataman kuiona taifa staz isiyo na mchezaji hata mmoja kutoka simba yanga au hata na azam
 
Last edited by a moderator:
Kati ya hawa hakuna hata mmoja aliyewahi kufanya la maana katika soka la Bongo zaidi ya kufundisha Yanga na Simba bila kutikisa Afrika. Hatutaki mpira wa kibongo bali tunataka mpira wa kimataifa na ulioenda shule. Tatizo la wachezaji wa Tanzania ni kwamba hawafundishiki na hii ni dhahiri kwa sababu si wachezaji kweli bali ni wachawi. Wenzetu wamewekeza kwenye vipaji siye mpaka leo hii bado tunakwenda uwanjani na viganja vya albino na ndiyo maana tumekuwa vibonde hata kwa Madagascar. Mpira ni kipaji si uchawi. Mfano kiangalieni ki-Ngassa....kimeenda Uingereza majaribioni pale London wakati West Ham ikiwa daraja la pili kashindwa hata namba ya benchi ya akiba akarudi Bongo na majigambo kibaoooo. Hiyo haikutosha akaenda Marekani akashindwa kupata namba matokeo yake katutia haibu kuwa Tanzania hatuna wachezaji wa maana. Ka-Ngassa haka haka hapa Bongo asipopangwa timu ya Taifa mashabiki wanatahamaki....hivi tunategemea nini kweli kumweka mtu kama Ngassa Taifa Stars? Makocha wote huko nje (Uingereza na marekani) wanasema hana kipaji na akili ya mpira ila bongo ni bonge la striker, huu kama si usanii wa kwa babu (uchawi) ni nini?
Huu ndio ukweri ila huwa hatuupendi kuusikia
 
tungejiondoa kwanza kwenye mashindano ya kimataifa kama miaka mitano hivi ili tutie akili
 
Habar! naandika hivi kwasababu zifatazo.

1. Mkwasa ni kocha mzuri sanaa, anajua kufundisha mpira wa kibongo na wakimataifa (yanga) anaufahamu sanaa.

2. Julio ni kocha msomi, ana beji za kimataifa, ni mtaalamu wa mpira wa fitina nje ya uwanja, na mpira wa bongo anaujua sanaaaa.

SASA.
Namba moja anatasaidia sanaa kufundisha mpira ndani ya uwanja kimataifa na ndani. na namba mbili atasidia kusaka vipaji kila kona ya nchi na kumpa mkwasa na kuweka sawa plus vitina zake nje ya uwanja

Tiafa star hapo itakuwa bora, kuliko sasa bora taifa star.

Tukiweza kwa style hii, baadaye ndio tutaleta mzungu kufundisha mpira wa darasani.

Ndo wewe baba? Sengerema umerudi lini? Condoliser anahusika hapa
 
Habar! naandika hivi kwasababu zifatazo.

1. Mkwasa ni kocha mzuri sanaa, anajua kufundisha mpira wa kibongo na wakimataifa (yanga) anaufahamu sanaa.

2. Julio ni kocha msomi, ana beji za kimataifa, ni mtaalamu wa mpira wa fitina nje ya uwanja, na mpira wa bongo anaujua sanaaaa.

SASA.
Namba moja anatasaidia sanaa kufundisha mpira ndani ya uwanja kimataifa na ndani. na namba mbili atasidia kusaka vipaji kila kona ya nchi na kumpa mkwasa na kuweka sawa plus vitina zake nje ya uwanja

Tiafa star hapo itakuwa bora, kuliko sasa bora taifa star.

Tukiweza kwa style hii, baadaye ndio tutaleta mzungu kufundisha mpira wa darasani.

Wakati Ukiandika Hivi Makocha Walioteuliwa Kama " Caretakers " Ni Mkwasa Na Matola Na Muda Wowote Kutoka Sasa Huenda Wakatangazwa.
 
tungejiondoa kwanza kwenye mashindano ya kimataifa kama miaka mitano hivi ili tutie akili

Haina sababu, si kama Tanzania hatuna wachezaji. Mbona wachezaji tunao tena wazuri tu ila wapo mchangani si kwa hawa wa Simba na Yanga. Tatizo la wachezaji hawa wa kibongo wengi wao ni wachawi na ndiyo maana hawafundishiki. Hapa hata aje Sir Alex au hata Mourinho ni ziro tu. Mchawi na mpira tofauti kabisaaa kwani mpira ni kipaji si uchawi. Hapa suluhisho ni kumwambia Malinzi awapakie wachezaji wote wa Stars wa kikosi cha kwanza na wa benchi kwenye daladala bovu na kuwatumbukiza baharini kwani wanatia haibu. Watu badala ya kucheza wanawaza na kuomba viganja vya ma-albino viwape ushindi. Wapumbavu wakubwa, choma moto hawa watu.
 
mkwasa kuna kipindi alipewa timu ya taifa akiwa anafundisha timu ya majeshi matokeo yake akawa anajaza wachezaji wa timu yake pale tff kuna tatizo kubwa zaidi au makocha hawana jipya lipi lilikuwa tatizo la kim poulsen huyo mayanga hadi anachaguliwa timu ya taifa kuwa kocha msaidizi alikuwa anafundisha wapi
 
Ndiyo itakuwa nzuri zaidi kwani timu za mikoani ndizo zichezazo mpira wa akili.

Tatizo la wachezaji wetu nı washamba na hawajiamini.Wakichukuliwa mikoani ndo kabisaaa.Wakizomewa wanapotea kabisa,wakisemwa maredionı na magazetini wanatetemeka.Ronaldo anazomewa uwanja mzıma tena mashabiki laki lakini performance anamantain.Hawa jamaa wachimba chumvi tu, hawajiamıni na ninadhanı kutokumudu kwao Kizungu ndo kunawafanya wajione inferior.
 
mkwasa kuna kipindi alipewa timu ya taifa akiwa anafundisha timu ya majeshi matokeo yake akawa anajaza wachezaji wa timu yake pale tff kuna tatizo kubwa zaidi au makocha hawana jipya lipi lilikuwa tatizo la kim poulsen huyo mayanga hadi anachaguliwa timu ya taifa kuwa kocha msaidizi alikuwa anafundisha wapi

Ok,tuache mpira, wapi kwingine tumefanya vema?Watz tu vimeo wote.Km leo watu wanamwona Lowasa mtu mwenye sifa za kuwa rais wao, wanawezaje kuwa na maana hata kuwa na timu nzuri.Ng'oa CCM madarakani,Endesha nchi kisayansi, acha blaablaa.Acha kelele, mmekımbia vıjijini mkıacha utajiri, mmekimbilıa mjinı, mmejaa dhki, hamna kazi alafu eti mnajifanya kutoa nasaha?Tumefail kila jambo.
 
Nimeguswa na uzalendo wenu wadau ila tukumbuke hatukuanguka leo.Miaka ya 70 mpaka 90 serikalI kupitia taasisi zake mbalimbali iliandaa wana michezo tofauti kuanzia kabumbu mpaka ndondi si kitu cha ajabu miaka ile kukuta RTC kagera biashara mwanza RTC kigoma pamba na mwadui bila kusahau tumbako ya moro.
Hata timu za mtaani kama nyota nyekundu na majimaji songea zilitoa ushindani murua na wachezaji walikuwa wana ajiriwa kama vibarua.
Impact ya kuondoa michezo makazini ndo tuna I feel muda huu sasa imekuwa shaghala baghala tutaendelea kuumia kama hakuta kuwa na mipango madhubuti ya kuvitafuta vipaji na kuvitunza hata ferg aje hapa tutamchoka coz wengi wetu hatujui tulipo angukia.Naziangalia yanga na simba kwa mtaji wa wanachama na mashabiki kama kungekuwa na mipango thabithi zingekuwa kama zamalek au african sports ya ivory coast ila kwa hii mipango ya lipualipua jazz band tutaendelea kuwa kichwa cha HAYAWANI
 
Tatizo la wachezaji wetu nı washamba na hawajiamini.Wakichukuliwa mikoani ndo kabisaaa.Wakizomewa wanapotea kabisa,wakisemwa maredionı na magazetini wanatetemeka.Ronaldo anazomewa uwanja mzıma tena mashabiki laki lakini performance anamantain.Hawa jamaa wachimba chumvi tu, hawajiamıni na ninadhanı kutokumudu kwao Kizungu ndo kunawafanya wajione inferior.

Uchawi tu ndiyo unawasumbua.
 
Back
Top Bottom