Kocha Mokwena: Yanga walinizidi kila kitu

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
“Kwa kifupi sina cha kusema kuhusu Yanga wamenizidi karibia kila eneo kwenye michezo yote miwili hilo napaswa kulikubali, lakini pia siwezi kuzungumzia kuhusu goli lao kama ni halali au sio halali kwakuwa naelewa hata ingekuwa mimi ni Yanga nisingesema tofauti”

Coach Rulani Mokwena kwenye Press na Waandishi wa Habari.
 
Kwa mgongo wa chupa unapakwa wese usipauke na wewe unaona hiyo ni love.

Hata sisi tulifarijiwa hivyo hivyo na Wydad lakini wenzetu muda huo tayari walikuwa wako nusu na sisi tumebaki.

Itafika wakati mtazoea tu hii hali na kila kitu upande wenu kitakuwa normal.
 
Unafarijiwa tu.. Yanga muda wote walipakodi basi.. ni shut moja tu la K Aziz ndo limelenga goli halafu useme mamelodi alizidiwa na Yanga... pumbafu....
 
“Kwa kifupi sina cha kusema kuhusu Yanga wamenizidi karibia kila eneo kwenye michezo yote miwili hilo napaswa kulikubali, lakini pia siwezi kuzungumzia kuhusu goli lao kama ni halali au sio halali kwakuwa naelewa hata ingekuwa mimi ni Yanga nisingesema tofauti”

Coach Rulani Mokwena kwenye Press na Waandishi wa Habari.
Yanga tukate rufaa
 
Nachofuraha kwanza mmetoka wote ..pili kuna mtu kapigwa BAO nje na ndani ...
 
Unafarijiwa tu.. Yanga muda wote walipakodi basi.. ni shut moja tu la K Aziz ndo limelenga goli halafu useme mamelodi alizidiwa na Yanga... pumbafu....
Ana maanisha kuwa mbinu zake zote zilifeli sio kuwa Mame hawakucheza.
 
Yanga wametendea haki visit Tanzania , afrika nzima wanajadili derby ya yanga na mamelodi tangu wakati wa draw Mpaka mechi zote mbili .
 
Attachments

  • 50240903-CE9E-4B02-8DB2-81D7565E22BE.jpeg
    50240903-CE9E-4B02-8DB2-81D7565E22BE.jpeg
    828.6 KB · Views: 3
Pumbav manako we mbwa, na nyie makolo mbn mmepigwa ndani nje. Hujalazimishwa kushabikia timu mbovu, bwege kweli
ndo mmefunzwa na familia zenu kutukana watu bila sababu za msingi et.? pimbi uliekotwa kwenye nailoni za dampo wewe... ndo nyie mnaishi kwa laana kwa kuwatukana wazazi wanu..shwani
 
“Kwa kifupi sina cha kusema kuhusu Yanga wamenizidi karibia kila eneo kwenye michezo yote miwili hilo napaswa kulikubali, lakini pia siwezi kuzungumzia kuhusu goli lao kama ni halali au sio halali kwakuwa naelewa hata ingekuwa mimi ni Yanga nisingesema tofauti”

Coach Rulani Mokwena kwenye Press na Waandishi wa Habari.
Yuko sawa wao walimiliki Mpira sana tu mpira ila hawakuwa hatari. Yaani hakukuwa na muda utasema wanakaribia kufunga ukiondoa ile pasi ya Mkude. Yanga wamefanya muvu za hatari ambazo zimenyanyua mashabiki kwenye viti kabisa.
 
Back
Top Bottom