Kocha Morocco amrudisha Fei Toto Yanga

Kocha Morocco amrudisha Fei Toto Yanga

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
KOCHA msaidizi wa timu ya taifa, Taifa Stars, Hemed Suleiman 'Morocco', amefichua jambo akisema amezungumza na kiungo Feisal Salum 'Fei Toto' aliyeikaushia kambi ya Yanga akimtaka arejee klabuni hapo, ili kujihakikishia namba Stars kwani watamtathimini kabla ya kuitwa tena baadae

KOCHA msaidizi wa timu ya taifa, Taifa Stars, Hemed Suleiman 'Morocco', amefichua jambo akisema amezungumza na kiungo Feisal Salum 'Fei Toto' aliyeikaushia kambi ya Yanga akimtaka arejee klabuni hapo, ili kujihakikishia namba Stars kwani watamtathimini kabla ya kuitwa tena baadae.

Fei yupo nje ya Yanga tangu alipotangaza kuvunja mkataba na klabu hiyo na kuilipa Sh 112 Milioni zikiwamo za mishahara ya miezi mitatu, lakini klabu hiyo ikamgomea na kukimbilia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kupitia Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji inayomtambua ni mali ya timu hiyo.

Hata hivyo, licha ya kutokuwa na timu tangu Desemba makocha wa Stars walimuita na kumjumuisha kiungo huyo kwenye kikosi kilichocheza mechi mbili za kuwania tiketi za Afcon dhidi ya Uganda na ukizuka mjadala juu ya kiwango chake, lakini Morocco amevunja ukimya na kuzungumza mipango ya benchi la timu hiyo kwa mchezaji huyo kwa mechi zijazo baada ya kuzungumza naye.

Source mwanasport.

Nini maoni yako mdau wa mpira arejee yanga kula ugali na sukari au aendelee kukaa huko alipo ale vizuri ?
 
Morocco asifikiri Feisal hajashauriwa kuhusu kuludi Yanga Ili atunze kipaji chake, Ndugu, jamaa na marafiki walisha mweleza na yeye mwenyewe anafahamu ilo.
Tatizo lipo Kwa mtu aliye nyumayake, ana ushawishi mkubwa wa kifedha na kumvuruga.
Kijana ameingia kwenye mtumbwi wa Kibwengo Sasa amesha fikishwa katikati ya bahari na anatakiwa ashuke na hawezi kuogelea.Fedha imemweka katika wakati mgumu sana.

Morocco alitakiwa aongee na Yusufu Bakresa sio Fei Toto.
Fei amesha nasa, hajitambui na amesha potea.
 
Dah umeandika kwa hisia sana mkuu [emoji3578]
 
Yanga walivyo serious na maisha hana namba tena pale hakuna mtu wa kuwekwa bench na fei... Asubiri msimu uishe atafanyiwa uhuni hata sahau mpira wa bongo
Ngoja tuone Nini kitafuata walio nyuma yake wanafikiri Nini juu ya talanta yake huyu bwana mdogo.
 
Yanga walivyo serious na maisha hana namba tena pale hakuna mtu wa kuwekwa bench na fei... Asubiri msimu uishe atafanyiwa uhuni hata sahau mpira wa bongo
Akajifiche mtibwa sugar afanye hata mazoezi.
 
Wana yanga wana hasira sana[emoji16]
 
KOCHA msaidizi wa timu ya taifa, Taifa Stars, Hemed Suleiman 'Morocco', amefichua jambo akisema amezungumza na kiungo Feisal Salum 'Fei Toto' aliyeikaushia kambi ya Yanga akimtaka arejee klabuni hapo, ili kujihakikishia namba Stars kwani watamtathimini kabla ya kuitwa tena baadae

KOCHA msaidizi wa timu ya taifa, Taifa Stars, Hemed Suleiman 'Morocco', amefichua jambo akisema amezungumza na kiungo Feisal Salum 'Fei Toto' aliyeikaushia kambi ya Yanga akimtaka arejee klabuni hapo, ili kujihakikishia namba Stars kwani watamtathimini kabla ya kuitwa tena baadae.

Fei yupo nje ya Yanga tangu alipotangaza kuvunja mkataba na klabu hiyo na kuilipa Sh 112 Milioni zikiwamo za mishahara ya miezi mitatu, lakini klabu hiyo ikamgomea na kukimbilia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kupitia Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji inayomtambua ni mali ya timu hiyo.

Hata hivyo, licha ya kutokuwa na timu tangu Desemba makocha wa Stars walimuita na kumjumuisha kiungo huyo kwenye kikosi kilichocheza mechi mbili za kuwania tiketi za Afcon dhidi ya Uganda na ukizuka mjadala juu ya kiwango chake, lakini Morocco amevunja ukimya na kuzungumza mipango ya benchi la timu hiyo kwa mchezaji huyo kwa mechi zijazo baada ya kuzungumza naye.

Source mwanasport.

Nini maoni yako mdau wa mpira arejee yanga kula ugali na sukari au aendelee kukaa huko alipo ale vizuri ?
Manara apewe sifa
 
Aendelee kucheza KIDALI PO na meneja wake!
 
Back
Top Bottom