Kocha mpya Simba: Yanga hawanizidi chochote

Kocha mpya Simba: Yanga hawanizidi chochote

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
FADLU: HAWA YANGA HAWATUZIDI CHOCHOTE.

"Hakuna utofauti mkubwa wa ubora wa wachezaji baina ya Simba na Yanga lakini utofauti uliopo tu ni kwamba wao wamekaa muda mrefu na sisi tunamaingizo zaidi ya 10 mapya hiyo inaweza kuwa faida kwao lakini pia kwakuwa nao hawajawahi kutuona pia ni faida kwetu kwakuwa hawajui ni namna gani tutaingia kwenye mchezo hivyo utakuwa mcheo wa wazi. "

" Tunavipaji vingi kwenye timu na tunaendelea kujenga umoja tunachukua mchezo huu kama michezo mingine na hatuna presha

Tunaingia kucheza kwa ajili ya kushinda na ni mchezo utaotupa picha ya kuelekea msimu ujao nimi cha kufanya zaidi ?

Hii ni timu mpya na project mpya mechi tulizocheza zinaendelea kutujenga na taratibu tutaendelea kuimarika

Hatuwezi kuzuia muda wote wala kushambulia muda wote lakini tutatengeneza mpango ambao tutaweza kushinda "

David Fadlu, Kocha Simba SC kuelekea mchezo vs Yanga

NB: Je huyu kocha tumuambie ukweli....au tumuache???

.
1723021968854.jpg
 
Nyie si mmekariri.
Endeleeni kukariri.ila mpira uwanjani
 
Hiki nakiita Kikosi cha UltraSound, kikosi cha kupima watu umri. Tarimba aliwakejeli Mzee Chama na Mzee Mkude, sasa hivi kiroho saafi anawalipa mshahara.
Huyu kocha hajawahi kula 4G
 
Back
Top Bottom