Kocha mpya wa Simba atua Dar, Mtibwa wamdaka Airport na kumalizana nae

Kocha mpya wa Simba atua Dar, Mtibwa wamdaka Airport na kumalizana nae

Ni yule Mbelgiji Piet de Mol.Pichani akiwa na kiongozi wa MTIBWA SUGAR Jamal Bayser ofisini kwake leo asbh.
Ili huyo kocha afanye kaz kwa ufasaha lazima maxime atimuliwe hapo manungu, maxime akibaki hapo itakuwa sawa na bure...

Watanzania hatupendi kujifunza huyo maxime ataleta fitina mpaka huyo kocha atimuliwe..
 
Wachezaji wa simba (pichani) wakifungasha mizigo kwenye ndege ya kukodi kwenda rombo kupiga kambi kwaajili ya mchezo wao dhidi ya yanga utakao chezwa msimu ujao wa 2016/17,picha na grafani11
 
Attachments

  • 1432217955784.jpg
    1432217955784.jpg
    12.3 KB · Views: 268
Mtibwa hawana huo ubavu, mnafurahisha baraza, wazaramo wanasema "sangalaza lubuga".
 
Ili huyo kocha afanye kaz kwa ufasaha lazima maxime atimuliwe hapo manungu, maxime akibaki hapo itakuwa sawa na bure...

Watanzania hatupendi kujifunza huyo maxime ataleta fitina mpaka huyo kocha atimuliwe..

Meck Maxime amefanyeje kwani?
 
Simba wanapaswa wamalize utata mapema kama wanamrudisha kapunovic au wanaleta kocha mwingine ili maandalizi yaanza mapema. Pia waachane na usajili wa magazetini na kuangalia majina badala ya vipaji vinginevyo itakula kwao tena msimu ujao wa ligi.
 
Back
Top Bottom