Ili huyo kocha afanye kaz kwa ufasaha lazima maxime atimuliwe hapo manungu, maxime akibaki hapo itakuwa sawa na bure...Ni yule Mbelgiji Piet de Mol.Pichani akiwa na kiongozi wa MTIBWA SUGAR Jamal Bayser ofisini kwake leo asbh.
Ili huyo kocha afanye kaz kwa ufasaha lazima maxime atimuliwe hapo manungu, maxime akibaki hapo itakuwa sawa na bure...
Watanzania hatupendi kujifunza huyo maxime ataleta fitina mpaka huyo kocha atimuliwe..
Mtibwa hawana huo ubavu, mnafurahisha baraza, wazaramo wanasema "sangalaza lubuga".
Meck Maxime amefanyeje kwani?
Anaomba wachezaji hela ili awapange..kama hutoi hela hupangwi kucheza