Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Kuna taarifa zimenifikia kuwa kocha mpya wa simba atawasili usiku huu nchini. Je, kocha huyo ni nani? Tuvute subira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iko wazi Makolo wanasagula sagula makocha wa bei chee
Utopolo bana😅..Ni hopeless kabisaSi wslisema waliomba zaidi ya 100? Mbona hatukuona wazungu wamepanga foleni na vyeti vyao wakisubiri kuhojiwa kwenye interview? Mnatudanganya tuu
Hahaha uto na kolo mnashida sana.Utopolo bana😅..Ni hopeless kabisa
Umeuacha hapa JF ila kwenye vibanda umiza Watu huwa wanakuchora tu we KOLO [emoji847]Hahaha uto na kolo mnashida sana.
Heri nimeacha ushabiki maandazi wa bongo
Katika maisha yangu sijui vijiwe wala vibanda umiza.Umeuacha hapa JF ila kwenye vibanda umiza Watu huwa wanakuchora tu we KOLO [emoji847]
Katika maisha yangu sijui vijiwe wala vibanda umiza.
To be honest hizi timu za kutumia ndumba kamwe aizifagiliii.
Unaona kabisa akina mipili wanajivunia uchawi jadharani.
Makolo nao bila aibu ugenini wanachoma ndumba haaa
Ulidhani unavyofanyishwa interview ya TRA kupanga foleni uwanjani ndio makocha wangefanyishwa hivyo?Si wslisema waliomba zaidi ya 100? Mbona hatukuona wazungu wamepanga foleni na vyeti vyao wakisubiri kuhojiwa kwenye interview? Mnatudanganya tuu
Hiyo aina ya interview utaifanya wewe.Si wslisema waliomba zaidi ya 100? Mbona hatukuona wazungu wamepanga foleni na vyeti vyao wakisubiri kuhojiwa kwenye interview? Mnatudanganya tuu