Kocha mpya wa Simba(MBUMBUMBU)hana maajabu yoyote kwenye Soka

Hao makocha wengine waliokuja Simba kama Uchebe na Kishingoo mlikuwa mnawajua? Au walikuwa na mafanikio makubwa huko walikotoka
 
Bwabwaja tu
 
Tuachie kocha wetu, huyu ndiye anayetufaa kutushusha daraja!
 
Kushindwa huko kote alikotoka siyo kigezo cha kushindwa Simba. Tumpe Muda.
 
Kwa hili na hoja zako nyingine andiko lako limekaa kishabiki "5. Pale Real Madrid alihudumu kama Kocha Msaidiz Kwa Miezi Mitatu siku 94 tu akaondolewa."
 
Real Madrid kama sio club namba 1 kwa ubora duniani basi ni miongoni mwa vilabu vitano bora duniani

Wao kama Madrid wamemuamin Pablo kama kocha msaidizi sisi mashabiki wa Simba pamoja na viongozi wa klabu tunapata nafasi ya kuwa kama kocha mkuu alafu tusimuamini,,,Nyinyi yanga mna kichaa sio bure hata kama atatushusha daraja sisi tuna Imani naye
 
Duh kama madrid hao hao wamemtimua ndani ya miezi mitatu tu vipi unasemaje hapo juu ya imani ya Madrid kwa Pablo?
 
Kwanza sio kweli kuwa wamemtimua baada ya miezi mitatu na kumbuka alikua Madrid msimu wa mwaka juzi

Sasa jiulize Madrid walikua hawaoni madhaifu yake ya nyuma huko alipopita akifundisha team kama Getafe na zingine

Sema utopolo mna wivu
 
Hayakuhusu wewe mpira umeujulia wapi? Hifadhi huu upupu wako halafu rudi baada ya mzunguko wa kwanza kwisha.
 
Ole mushi kumbe ni zwazwa??? Haya tuambie Getafe kwenye ranking FIFA ni ya ngapi????
 
Managers are hired to be fired.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…