Nyonzo bin mvule
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 2,428
- 6,929
Hizi nongwa zote sababu kocha wetu kapita Madrid,,, basi tufanye kapita faru dume ya manzese ili roho zenu zifurahi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi feisal mwenye goli tatu ni wa as vita?Uzuri wa Kocha sikuzote unachangiwa na Wachezaji wazuri.
Nabi msimu uliopita alionekana Kocha Mbovu na nusura atupiwe virago.
Msimu huu wachezaji waliosajiliwa toka A.S Vita wamepandisha uwezo wa timu, Sifa zinaenda Kwa Kocha.
Muda utaongea
Bwabwaja tuNa Thadei Ole Mushi.
Simba wasiamini kuwa huyu Kocha anaweza kuwapa kila kitu wanachokifikiria. Nimepitia data za alikofundisha kote inawezekana akafukuzwa Simba kabla ya Dirisha Dogo la Usajili halijfunguliwa. Twende Kwa Data:-
Simba hapo ilipo kwenye ranking za Fifa ni Timu ya 484 lakini kote alikofundisha huyu Kocha kama Kocha Mkuu hajawahi kufundisha club kubwa kama Simba.
Timu alizofundisha.
1. Saburtalo ya Georgia hapa alicheza match 22 akashinda 10, akapata draw 6 akafungwa match 6. Hii Timu kwenye Ranking za Fifa ni ya 1,400.
2. Al- Qasdia hii ndio Timu aliyotokea kabla ya kujiunga Simba. Timu hii ni ya Kuweit [emoji23][emoji23][emoji23] kule kwenye mabomu ya kutega ardhini. Kwenye ranking za Fifa hii Timu ni ya 1,388 na kwenye ranking za bara la Asia ni ya 244.
3. Gatafe B alicheza match 26 akashinda 11, aka-draw match 7 akafungwa match 8.
4. Gatafe A hapa alicheza match 14 akashinda 3, akadraw 2 akafungwa 9. Gatafe A walimuajiri sio baada ya Kufukuzwa Kwa Kocha aliyekuwa anaitwa Quque Florez. Akapewa Timu amalizie match 14 zilizobakia akapigwa match 9 baada ya Msimu akafukuzwa. Na kwenye match zote akiwa Gatafe A alizofungwa alikuwa akipigwa sio chini ya Goli nne Hadi nane.
5. Pale Real Madrid alihudumu kama Kocha Msaidiz Kwa Miezi Mitatu siku 94 tu akaondolewa.
Hata huko Kuweit alishindwa kunyanyua Ndoo ya Ligi ya Kuweit na kwenye Historia yake Hana Ndoo yoyote inayoonekana kwenye cv yake. Huyu ndiye Babra anatuambia atalipwa Ghali Sana.
Kwenye Ranking za Fifa za Makocha Bora hayupo na Wala hatambuliki kama ilivyo Kwa Suleiman Matola au Nabi wa Yanga. Kwenye List ya Fifa anayeongoza ni Clop wa Liverpool na wa Mwisho anayeshika nafasi ya 700 ni Bernand Storch anayefundisha Certle Brugge ya Ubelgiji.
Ukisikia jinsi mashabiki wa Simba wanavyomwelezea Kocha wao unaweza kukimbia ligi lakini Wana Kazi kubwa Sana ya Kufanya msimu huu. Kocha wa namna hii kuja kumbadilisha Boko Akimbie Kwa spidi kama ya Moloko au Wawa kumkaba Fiston Mayele na Feisal Kwa pamoja ni shughuli kubwa Sana kwake.
Ukinuna uwe na sababu za Msingi.
Ole Mushi
0712702602.
Na utopolo haiwezi kuwa Barcelona 😀😀Hata kama kafundisha Madrid kumbuka tu mzamiru awezi kua Toni kroos
Kushindwa huko kote alikotoka siyo kigezo cha kushindwa Simba. Tumpe Muda.Na Thadei Ole Mushi.

Kibwana Shomari pia mkuu[emoji1][emoji1]Hadi feisal mwenye goli tatu ni wa as vita?
Punguza jazba mkuuBwabwaja tu
Real Madrid kama sio club namba 1 kwa ubora duniani basi ni miongoni mwa vilabu vitano bora duniani
Wao kama Madrid wamemuamin Pablo kama kocha msaidizi sisi mashabiki wa Simba pamoja na viongozi wa klabu tunapata nafasi ya kuwa kama kocha mkuu alafu tusimuamini,,,Nyinyi yanga mna kichaa sio bure hata kama atatushusha daraja sisi tuna Imani naye
Duh kama madrid hao hao wamemtimua ndani ya miezi mitatu tu vipi unasemaje hapo juu ya imani ya Madrid kwa Pablo?
Sema utopolo mna wivuKwanza sio kweli kuwa wamemtimua baada ya miezi mitatu na kumbuka alikua Madrid msimu wa mwaka juzi
Sasa jiulize Madrid walikua hawaoni madhaifu yake ya nyuma huko alipopita akifundisha team kama Getafe na zingine
Hayakuhusu wewe mpira umeujulia wapi? Hifadhi huu upupu wako halafu rudi baada ya mzunguko wa kwanza kwisha.Na Thadei Ole Mushi.
Simba wasiamini kuwa huyu Kocha anaweza kuwapa kila kitu wanachokifikiria. Nimepitia data za alikofundisha kote inawezekana akafukuzwa Simba kabla ya Dirisha Dogo la Usajili halijfunguliwa. Twende Kwa Data:-
Simba hapo ilipo kwenye ranking za Fifa ni Timu ya 484 lakini kote alikofundisha huyu Kocha kama Kocha Mkuu hajawahi kufundisha club kubwa kama Simba.
Timu alizofundisha.
1. Saburtalo ya Georgia hapa alicheza match 22 akashinda 10, akapata draw 6 akafungwa match 6. Hii Timu kwenye Ranking za Fifa ni ya 1,400.
2. Al- Qasdia hii ndio Timu aliyotokea kabla ya kujiunga Simba. Timu hii ni ya Kuweit [emoji23][emoji23][emoji23] kule kwenye mabomu ya kutega ardhini. Kwenye ranking za Fifa hii Timu ni ya 1,388 na kwenye ranking za bara la Asia ni ya 244.
3. Gatafe B alicheza match 26 akashinda 11, aka-draw match 7 akafungwa match 8.
4. Gatafe A hapa alicheza match 14 akashinda 3, akadraw 2 akafungwa 9. Gatafe A walimuajiri sio baada ya Kufukuzwa Kwa Kocha aliyekuwa anaitwa Quque Florez. Akapewa Timu amalizie match 14 zilizobakia akapigwa match 9 baada ya Msimu akafukuzwa. Na kwenye match zote akiwa Gatafe A alizofungwa alikuwa akipigwa sio chini ya Goli nne Hadi nane.
5. Pale Real Madrid alihudumu kama Kocha Msaidiz Kwa Miezi Mitatu siku 94 tu akaondolewa.
Hata huko Kuweit alishindwa kunyanyua Ndoo ya Ligi ya Kuweit na kwenye Historia yake Hana Ndoo yoyote inayoonekana kwenye cv yake. Huyu ndiye Babra anatuambia atalipwa Ghali Sana.
Kwenye Ranking za Fifa za Makocha Bora hayupo na Wala hatambuliki kama ilivyo Kwa Suleiman Matola au Nabi wa Yanga. Kwenye List ya Fifa anayeongoza ni Clop wa Liverpool na wa Mwisho anayeshika nafasi ya 700 ni Bernand Storch anayefundisha Certle Brugge ya Ubelgiji.
Ukisikia jinsi mashabiki wa Simba wanavyomwelezea Kocha wao unaweza kukimbia ligi lakini Wana Kazi kubwa Sana ya Kufanya msimu huu. Kocha wa namna hii kuja kumbadilisha Boko Akimbie Kwa spidi kama ya Moloko au Wawa kumkaba Fiston Mayele na Feisal Kwa pamoja ni shughuli kubwa Sana kwake.
Ukinuna uwe na sababu za Msingi.
Ole Mushi
0712702602.
Na Thadei Ole Mushi.

Huyo ni mbumbumbu mwenzenu ujueOle mushi kumbe ni zwazwa??? Haya tuambie Getafe kwenye ranking FIFA ni ya ngapi????
Managers are hired to be fired.Mnavyohangaika!!
Nchi ina shida sana ya watu kufikiri...
Kuna kocha aliwahi kutoka kufundisha Tanzania akaenda kuwa hata msaidizi wa timu yeyote ya premier league katka nchi zilizotuzidi sana kisoka huko ulaya? Kinyume chake je umejiuliza?
Anyway...makocha huja na kupita dunia nzima, huyu wa Simba hajaja kuolewa huku! Ikifika muda wake ataondoka tu kwa sababu zozote zile, msije kujifanya watabiri buree!