Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,752
- 5,609
Na Thadei Ole Mushi.
Simba wasiamini kuwa huyu Kocha anaweza kuwapa kila kitu wanachokifikiria. Nimepitia data za alikofundisha kote inawezekana akafukuzwa Simba kabla ya Dirisha Dogo la Usajili halijfunguliwa. Twende Kwa Data:-
Simba hapo ilipo kwenye ranking za Fifa ni Timu ya 484 lakini kote alikofundisha huyu Kocha kama Kocha Mkuu hajawahi kufundisha club kubwa kama Simba.
Timu alizofundisha.
1. Saburtalo ya Georgia hapa alicheza match 22 akashinda 10, akapata draw 6 akafungwa match 6. Hii Timu kwenye Ranking za Fifa ni ya 1,400.
2. Al- Qasdia hii ndio Timu aliyotokea kabla ya kujiunga Simba. Timu hii ni ya Kuweit [emoji23][emoji23][emoji23] kule kwenye mabomu ya kutega ardhini. Kwenye ranking za Fifa hii Timu ni ya 1,388 na kwenye ranking za bara la Asia ni ya 244.
3. Gatafe B alicheza match 26 akashinda 11, aka-draw match 7 akafungwa match 8.
4. Gatafe A hapa alicheza match 14 akashinda 3, akadraw 2 akafungwa 9. Gatafe A walimuajiri sio baada ya Kufukuzwa Kwa Kocha aliyekuwa anaitwa Quque Florez. Akapewa Timu amalizie match 14 zilizobakia akapigwa match 9 baada ya Msimu akafukuzwa. Na kwenye match zote akiwa Gatafe A alizofungwa alikuwa akipigwa sio chini ya Goli nne Hadi nane.
5. Pale Real Madrid alihudumu kama Kocha Msaidiz Kwa Miezi Mitatu siku 94 tu akaondolewa.
Hata huko Kuweit alishindwa kunyanyua Ndoo ya Ligi ya Kuweit na kwenye Historia yake Hana Ndoo yoyote inayoonekana kwenye cv yake. Huyu ndiye Babra anatuambia atalipwa Ghali Sana.
Kwenye Ranking za Fifa za Makocha Bora hayupo na Wala hatambuliki kama ilivyo Kwa Suleiman Matola au Nabi wa Yanga. Kwenye List ya Fifa anayeongoza ni Clop wa Liverpool na wa Mwisho anayeshika nafasi ya 700 ni Bernand Storch anayefundisha Certle Brugge ya Ubelgiji.
Ukisikia jinsi mashabiki wa Simba wanavyomwelezea Kocha wao unaweza kukimbia ligi lakini Wana Kazi kubwa Sana ya Kufanya msimu huu. Kocha wa namna hii kuja kumbadilisha Boko Akimbie Kwa spidi kama ya Moloko au Wawa kumkaba Fiston Mayele na Feisal Kwa pamoja ni shughuli kubwa Sana kwake.
Ukinuna uwe na sababu za Msingi.
Ole Mushi
0712702602.